donata fredy
Member
- Jul 22, 2016
- 45
- 87
kinachotakiwa uwe na shamba darasa watu wanakuja wanaona unachofanya,kama unafuga watu wanaona kweli unachofuga,kama unalima watu waje kujifunza shambani waone mambo unayofanya,hii mambo mtu anajidai anadownload material anatumia watu wakati mwenyewe hajui hata kushika jembe sio wakati wake huu,badilikeni jamaniHabari za kuamka wakubwa zangu na wadogo zangu
Kuna msemo usemao, “Fursa ziko kila mahali zimelala tu ovyo ovyo zikisubiri jicho la kuona zionwe”. Ndugu, najua muda mwingi umekuwa unafikiria ufanye kazi gani itakayokuletea kipato kizuri, tena ikiwezekana kwa muda mfupi. Hili sio wazo lako tu ni wazo la wengi. Inapofika wakati wa kuamua kuanzisha biashara au kuwekeza, shida inakuja ni biashara gani ufanye au ni kitu gani uwekeze. Kujiuliza namna ile sio dhambi, ni kawaida kabisa lakini nataka nikueleze kuwa mahali popote ulipo umezungukwa na fursa kibao. Kama hujaziona tatizo sio kwamba fursa hazipo tatizo ni macho yako hayazioni ila zipo.
Lengo langu ni
Mara nyingi nimekuwa mtu Wa semina kuelimisha maswala ya kilimo, ufugaji, ujasilia-mali nk.
Kwa wanao hitaji kujiunga na group la Ufugaji na Kilimo
Ila group litahusika na masomo tu ya kilimo na ufugaji tu
niandikie msg whatsapp nikuadd,
( no zangu ni 0673296942 )
Kwa maelezo zaidi yatapatikana ndani ya group.
Ninalima na ninafuga mhkinachotakiwa uwe na shamba darasa watu wanakuja wanaona unachofanya,kama unafuga watu wanaona kweli unachofuga,kama unalima watu waje kujifunza shambani waone mambo unayofanya,hii mambo mtu anajidai anadownload material anatumia watu wakati mwenyewe hajui hata kushika jembe sio wakati wake huu,badilikeni jamani
Nohuwez kufundisha kilimo kwa Whatsapp group, nlishangaa sana kusikia semina moja ya kufuga kuku inafanyikia hotelini, Mnatudhalilisha sisi wataalam wa kilimo
SawaNiadd 0767710011
myAdd me 0676227858
Bila kuweka semina Hotelini watapigaje pesa za wajinga!? Wanaandaa mazingira ya kukuonesha kuwa wapo serious kumbe ni ma'opportunist.huwez kufundisha kilimo kwa Whatsapp group, nlishangaa sana kusikia semina moja ya kufuga kuku inafanyikia hotelini, Mnatudhalilisha sisi wataalam wa kilimo