Jamaa alianza kujisifu sana kazini kwake;
Jemsi: Wiki ijayo nafanya mtihani, ni miezi sitasasa nafanya masomo ya jioni, nimejua mengisana, we unamjua David Livingstone?Devi: Hapana simjui
Jemsi: Huyo ndie mzungu wa kwanza kulionaZiwa Victoria, ungekuwa unasoma masomo yajioni ungemjua huyu.Jemsi akawa kero kazini kwa maswali yake.
Jemsi : We unamjua Graham Bell?
Devi : Hapana simjui
Jemsi : Huyo ndie alikuwa mtu wa kwanzakutengeneza simu, ungekuwa unaenda kuchukuamasomo ya jioni ungemjua.Siku moja Devi akamwita Jemsi;
Devi: Jemsi unamjua Hasani Makolokocho?
Jemsi: Hapana
Devi: Huyo ndie mchepuko wa mkeo kwa miezisita sasa, ungekuwa huendi kuchukua masomoya jioni ungemjua