Mgwila junior
Senior Member
- Jul 31, 2016
- 104
- 74
Kwanza napongeza Sana uandaaji wa teaching and learning programs hasa katika television mbalimbali nchini kwa lengo la kuwafundisha na wanafunzi kipindi hiki cha janga la Corona.
Katika kuangalia Chanel ya kutazama mchana wa leo nimekutana na teaching program katika TV station X mwalimu akifundisha somo la Geography, Mada ni Tourism (Form II).
Katika kutazama na kusikiliza mwalimu anaonekana mahiri katika somo lake lakini shida mwalimu huyo sio Mahiri kabisa katika kutumia Kiingereza kitu ambacho kinaweza mfanya mwanafunzi adharau au asipende kabisa kuendelea kujifunza.
PENDEKEZO! waandaji waangalie uwezo wa mwalimu katika somo na pia awe mahiri katika lugha, hii itawafanya wanafunzi kupenda kujifunza kupitia TV stations mbalimbali hasa kipindi hiki ambacho wanafunzi Wapo majumbani.
Sent using Jamii Forums mobile app