I Ibra77 Member Joined Aug 16, 2016 Posts 21 Reaction score 4 Aug 17, 2016 #1 Habari vijana wenzangu... Mi ni mkulima wa mpunga maeneo ya SShinyanga mwenye uwezo wa Kusuply zaidi Tan50 za mchele kila wiki ningependa kuuliza mwenye ufaham wa masoko ya nnje ya africa na dunia pia ili nifanye kazi bila kuhangaikia masoko
Habari vijana wenzangu... Mi ni mkulima wa mpunga maeneo ya SShinyanga mwenye uwezo wa Kusuply zaidi Tan50 za mchele kila wiki ningependa kuuliza mwenye ufaham wa masoko ya nnje ya africa na dunia pia ili nifanye kazi bila kuhangaikia masoko
poorbillionaire JF-Expert Member Joined Mar 4, 2014 Posts 424 Reaction score 241 Sep 14, 2016 #2 Mipaka imeshafunguliwa...peleka Congo DRC, Rwanda na Burundi
Powder JF-Expert Member Joined Jan 6, 2016 Posts 5,240 Reaction score 7,094 Sep 14, 2016 #3 poorbillionaire said: Mipaka imeshafunguliwa...peleka Congo DRC, Rwanda na Burundi Click to expand... Anapelekaje? Ndo maana kaomba msaada hapa toka kwa mtu mzoefu!
poorbillionaire said: Mipaka imeshafunguliwa...peleka Congo DRC, Rwanda na Burundi Click to expand... Anapelekaje? Ndo maana kaomba msaada hapa toka kwa mtu mzoefu!