Masogange ajisalimisha yeye Mwenyewe Mahakama ya Kisutu

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,411
Mlimbwende, Agnes Gerald maarufu kama Masogange (28) amejisalimisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Kabla ya Masogange kujisalimisha mahakama ilitoa hati ya kumkamata baada ya kushindwa kuhudhuria mara mbili kwenye kesi hiyo inayomkabili.

Hatua hiyo ya kutaka kukamatwa kwa Masogange ilikuja baada ya upande wa mashtaka kuomba mahakama kutoa hati ya kumkamata kutokana na mshtakiwa huyo pamoja na wadhamini wake kutofika mahakamani, licha ya kupewa onyo.

Hivyo Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri alikubali maombi hayo na kutoa hati ya kumkamata Masogange.

Hata hivyo, Masogange leo (Jumanne) amefika mahakamani hapo mapema.

Masogange anakabiliwa na mashtaka mawili ya kutumia dawa za kulevya aina ya heroin diacety na Oxazepam.

Chanzo: Mwananchi

=====

Mfululizo wa kukamatwa, kesi, hukumu na kuachiwa huru kwa Agnes Masogange kwenye kesi ya Madawa ya kulevya
Masogange ajisalimisha mwenyewe Mahakama a Kisutu
Kupandishwa kizimbani na kusomewa shitaka
Yaliyojili wakati wa kesi ya Masogange
Masogange kupelekwa kwa Mkemia Mkuu
Kesi kusikilizwa

Tetesi za kuachiwa huru

Hukumu

Mlimbwende, Agnes Gerald maarufu kama Masogange (28) amejisalimisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Kabla ya Masogange kujisalimisha mahakama ilitoa hati ya kumkamata baada ya kushindwa kuhudhuria mara mbili kwenye kesi hiyo inayomkabili.

Hatua hiyo ya kutaka kukamatwa kwa Masogange ilikuja baada ya upande wa mashtaka kuomba mahakama kutoa hati ya kumkamata kutokana na mshtakiwa huyo pamoja na wadhamini wake kutofika mahakamani, licha ya kupewa onyo.

Hivyo Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri alikubali maombi hayo na kutoa hati ya kumkamata Masogange.

Hata hivyo, Masogange leo (Jumanne) amefika mahakamani hapo mapema.

Masogange anakabiliwa na mashtaka mawili ya kutumia dawa za kulevya aina ya heroin diacety na Oxazepam.

Chanzo: Mwananchi
Kumbe nae anakula poda,duh kazi kweli amekosa nini hadi anausaka uteja kwa gharama kubwa namna hiyo?
 
Habari zake bila picha hazinogi kabisa.
Mkuu.....
Najua unataka uone utelezi wa Masogange aiseeeee....
Lakini Mungu fundi sana aiseeeee....
images-214.jpg
images-136.jpg
download-6.jpg
download-5.jpg
images-3.jpg
 
Binti mzuri angetulia akawa na maisha yanayoeleweka angezidi kuwa mzuri.
 
Nilimuonaga live kule kisiwani Mbudya island, ,,Ana tako kweli, ,,lakini wa kawaida
 
Back
Top Bottom