connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,840
- 3,912
😁😁😁Mwenye kujua maslahi ya Wakurugenzi TANESCO atujuze. Naweza kulamba uteuzi hapo TANESCO insha'Allah.
#Reformtupakule#
No uniform No Erection1. Mwenye kujua maslahi ya Wakurugenzi TANESCO atujuze. Naweza kulamba uteuzi hapo TANESCO muda wowote, insha'Allah.
2. Nipo Mlingotini ubani kama wote. Safari hii MD lazima nichukue mwenyewe. Nikiingia hapo udini kama wote.
#Reform_tupakule#.
Wabillah Taufiq
Huyo mwendazake mwenyewe inawezakana kwa asilimia kubwa ameondoka kwa kamati za ufundi, mazingira ya hio accident yananipa mashaka sana.Watu wanaitafuta hiyo nafasi kwa hali na mali, hata kafara zinatolewa. Kamati ya ufundi ipo kazini.
HuendaHuyo mwendazake mwenyewe inawezakana kwa asilimia kubwa ameondoka kwa kamati za ufundi, mazingira ya hio accident yananipa mashaka sana.
200%Huenda
Binadamu waone hivo hivo tu ila 🔥200%
Ukiwa pale mwendowa vim3mo tuuu um3ona report CAG? Kuna kampuni wachina wamepewa tender 53b kampuni haina uwezo...nawikia Mtoto pendwa ndio ana mkono wake.....bahati mbaya wamempa atumie gari la hao wachina amekula mzinga nalo....kila kitu peupeee1. Mwenye kujua maslahi ya Wakurugenzi TANESCO atujuze. Naweza kulamba uteuzi hapo TANESCO muda wowote, insha'Allah.
2. Nipo Mlingotini ubani kama wote. Safari hii MD lazima nichukue mwenyewe. Nikiingia hapo lazima ninunue apartments Dubai.
#Reforms_tupa_kule#.
Wabillah Taufiq
Alijisahau boss wa watu kwenda ku-renew ulinzi, wajanja wakamuwahi.Huenda
V8 masaa 241. Mwenye kujua maslahi ya Wakurugenzi TANESCO atujuze. Naweza kulamba uteuzi hapo TANESCO muda wowote, insha'Allah.
2. Nipo Mlingotini ubani kama wote. Safari hii MD lazima nichukue mwenyewe. Nikiingia hapo lazima ninunue apartments Dubai.
#Reforms_tupa_kule#.
Wabillah Taufiq
Kabla ya sijasema chochote nikuulize kwamba ulifanyaje mpaka mwenzako kapata ajali1. Mwenye kujua maslahi ya Wakurugenzi TANESCO atujuze. Naweza kulamba uteuzi hapo TANESCO muda wowote, insha'Allah.
2. Nipo Mlingotini ubani kama wote. Safari hii MD lazima nichukue mwenyewe. Nikiingia hapo lazima ninunue apartments Dubai.
#Reforms_tupa_kule#.
Wabillah Taufiq