maskiniiii kazi kwishney

Hawa watakua wanahama mkoa mmoja hadi mwingine kulingana na wapi analojia bado inabamba...
 
akhaa, kumbe hujawahi kuingia kwenye siasa mchezo mchafu na jukwaa la teke linalokujia weye eenh!

ha ha ha sijawaki kuhisi kama nitakupata huko!!!! najua kijiwe chako kimoja tu!!!!
 
ha ha ha sijawahi kuhisi kama nitakupata huko!!!! najua kijiwe chako kimoja tu!!!!

tembea uone, na me nkajuaga kakijiwe kako ni hakohako 2 kumbe unatembea weye. Haya bna naendelea kutalii tutakutana kwe2 kule watoto wakishalala 😉;>
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…