Sawa ila ukweli kijina amefua sana alikuwa bodaboda kigamboninoTatizo hapo nn?kufanya kazi au?anaweza fanya hyo kaz akitoka job akafanya music kwan hakuna zambi yeyote kujiongezea kipato,kuwa na mawazo chanya na sio mgando kama hayo hapo juu.
Tatizo hapo nn?kufanya kazi au?anaweza fanya hyo kaz akitoka job akafanya music kwan hakuna zambi yeyote kujiongezea kipato,kuwa na mawazo chanya na sio mgando kama hayo hapo juu.
tatizo sio kufanya hiyo kazi.. issu ni mantiki ndugu,unajua kwa administative concept hiyo tungesema ni demotion kwake lakini si kwamba anajitaftia kipato ila hana altenative,kama pale atakua kaajiriwa.hivi leo hii umkute mtu kama prof anauza line za tigo utasema anajitafutia?think globally
Nishajua kwanini mtu anamuita mwenzie mchawi!
Alikuimbia wewe vileee??? Haya mi sijui kwanini mtu anamwita mwezie mchawi?
Kwa hiyo ulitaka asifanye kazi auu???
tatizo sio kufanya hiyo kazi.. issu ni mantiki ndugu,unajua kwa administative concept hiyo tungesema ni demotion kwake lakini si kwamba anajitaftia kipato ila hana altenative,kama pale atakua kaajiriwa.hivi leo hii umkute mtu kama prof anauza line za tigo utasema anajitafutia?think globally
Ajabu nini? mbona mnyalu sasa haimbi?
Mnyalu Nilikuwa namuonaga pale tume ya science kijitonyama tulikuwa tunafanyaga project za chuo sasa sijui yy alikuwa anafanya nnNini Mnyalu yuko wapi Qchilla,Mr Nice Je Daz Baba?