Mara ya ngapi? Kimoyomoyo ushafanya hivyo tayari kwa sababu unazojua wenyewe
Umependeza Mshana Jr. Nice pic of u. Big up
Kweli nimeumbika kama watoto wa madrasa pale mtambani
Umependeza Mshana Jr. Nice pic of u. Big up
Umependeza Mshana Jr. Nice pic of u. Big up
Hebu niweke wazi unamaanisha nini? hizo picha zina uhusiano wowote na wewe?
Sithani kama ni photoshop sababu kichwa na kiwiliwili vyote ni vya kiume,makalio kuna wanaume wengine(ambao hawana tabia za kijinga) wameimbika hivoSio mambo ya Adobe Photoshop hayo?