Maskini watoto Hawa...! Nawaonea imani mno

Maskini watoto Hawa...! Nawaonea imani mno

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,114
1415210239608.jpg

1415210262667.jpg
 
Hiyo ya pili imenikumbusha mbali, nikiwa dogo nilivuta vipisi ambavyo mzee alikuwa ametupa si akanifuma nilichezea bakora za kutosha hadi leo mm na sigara hatupatani.
 
Hawana malezi ndio maana wanafanya wanachoona watu wanafanya.
 
Dodoma kuna watoto wa mitaani wanatembea na makopo wameweka gundi yenye petrol, wananusa harufu sijui ndo wanalewa, naona ni maandalizi ya awali ya uteja hapo baadae. Yani vitoto vidogo hadi huruma sijui wazazi wao wako wapi.
 
Hivi mshana jr kuwaonea Imani ndio nini ati?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom