Maskini, wamemtorosha . . .

Maskini, wamemtorosha . . .

Nna kibinti(kiko 16yrs) cha paka wangu kizuri, cheupe dawa. Nakipa maziwa na mara moja moja samaki ili kitulie home.

Huwezi amini kimetoroshwa tangu juzi na li-mbaba la nyau(around 67yrs), jeusi afu lipakashume. Limemgegeda hadi kavunjika paja, sijui ilikuwaje. Ndio anarudi sasa hivi home, kakonda, anatembea kama kinyonga.

Nifanyeje atulie home? Hii sio mara ya kwanza kutoroka ila alikuwa hajawahi kulala nje.

Amaaa kweli mnyama haishi kwa msosi tu.

Yeeeeuuuuwwwiiiii.... Ingawa nina majonzi ila nimecheka kwa sauti!!!!

Aiseeee......
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
afu wewe ntake radhi hatunaga hizo hela za msimu, alafu point of correction kiwatengu ni mume wangu na si hawara chunga sana kijana we unavowabamba wake za watu unadhani kila mtu ni kama wewe
hahahahahaha.......mbavu zangu mie......eti bishanga kijana,lol!
 
Back
Top Bottom