Maskini vyombo vya habari katika mtanziko wote huu hata mijadala hakuna!!

Maskini vyombo vya habari katika mtanziko wote huu hata mijadala hakuna!!

Vyombo vimezibwa mdomo vinaamriwa nini vijadili na nini viandike!! Maskini Nchi yangu!! Najiuliza mtanziko kama huu ungekuwq Kenya vyombo vya hbr vingefanya namna gani!
vyombo vya habari nchini Tanazania ni huru na havibabaishwi na matakwa au mapenzi ya yeyote juu ya kuandika, kutokuandika au kuripoti chochote 🐒
 
Vyombo vimezibwa mdomo vinaamriwa nini vijadili na nini viandike!! Maskini Nchi yangu!! Najiuliza mtanziko kama huu ungekuwq Kenya vyombo vya hbr vingefanya namna gani!
Yaani siku huzi vyombo vya habari vya Tanzania kama vimepigwa shot vile. Habari za maendeleo huko vijijini havireport, matukio nyeti mjini pia havitoi habari.
 
Vyombo vinamilikiwa na ccm watajadili nini ikiwa jambo lina muhusu mwenyekiti?

Kukubali vyombo kusajiriwa ilikuwa ni kitanzi kwao, usipowafurahisha wahusika TCRA wanakuhoji halafu msajiri ana kufutia chombo chako.

Hilo limevifanya vyombo vya habari kuandikiwa habari na ccm na editors kupewa habari hizo kwa sharti la kubadirisha vichwa vya habari tu.

Ndio maana siku hizi magazeti yote habari zinafanana , isipokuwa vichwa vya habari.

Walidanganywa usajiri ungewapa uhuru, hawakujua kuwa usajiri ndio huchukua/hunyang'anya uhuru.
 
Vyombo vimezibwa mdomo vinaamriwa nini vijadili na nini viandike!!

Maskini Nchi yangu!! Najiuliza mtanziko kama huu ungekuwq Kenya vyombo vya habari vingefanya namna gani!
Mkuu nchi hii hatupendi kukosolewa, huu utamaduni hatuna kabisa. Hebu angalia hata tuna ishi, tunako fanya kazi, mtu akikosolewa ina geuka kuwa uadui.
 
1751979720340-1.jpg
 
Back
Top Bottom