Maskini Saudari wa watu

asante saudari kwa kunifundisa mwaya afu ujue sa hivi nishajua kusoma ngoja nisome hapo juu ulivyoandika mi mi mzi ma ka bi dahh samahani em nifundishe palipobakia nimezisahau hizo herufi zinandikwaje.
Mimi mzima kabisa, nilikuwa namfundisha Blue G kusoma na kuandika.
 
Last edited by a moderator:
asante saudari kwa kunifundisa mwaya afu ujue sa hivi nishajua kusoma ngoja nisome hapo juu ulivyoandika mi mi mzi ma ka bi dahh samahani em nifundishe palipobakia nimezisahau hizo herufi zinandikwaje.

Hizo nitakufundisha tukiwa wawili maana sasa hivi namuona Mr Rocky kanata kwenye hii thread.
 
Last edited by a moderator:
Jamani sosoliso mbona unakuwa hivyo?si ananifundiha kusoma mwenzio,au kuna nini em nitonye siri ya huyu saudari na tuhakikishe hajui mikakatii yetu sawa eehh?

yaani hafai hata kidogo.. gia zake ndo hizo anajifanya anataka kukufundisha kusoma kumbe ana lengo lililojificha.. kuwa makini sana tu..
 
yaani hafai hata kidogo.. gia zake ndo hizo anajifanya anataka kukufundisha kusoma kumbe ana lengo lililojificha.. kuwa makini sana tu..
Asante mwaya sosoliso kwa ushauri mzuri nami naahidi nitaufanyia kazi ila naomba usimtonye saudari sawa eeeehhh iwe siri yetu umesikia?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…