Maskini Saudari wa watu

duh.. mkiambiwa msije mjini hamtaki...
 
ngoja aje mwenyewe alete utetezi,mkuu saudari upo!!??
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky huyu sio bujibuji,ila walikuja wate mjini na saudari,bujibuji yeye aliamua ajifunike nipashe umesahau jana mkuu?

Mkuu charger jana Bujibuji kanitisha bana kaniambia anatembea na radi ya mia tano na nikiendelea anaituma faster
Ohhh nishamkumbuka Bujibuji na gazeti lake jana ila saudari yuko juu kashapata mpaka godoro
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hakuna utetezi hapo imethibitika pasipo shaka
..si unajua bongo hata walioshikwa na ushahidi kama epa walishinda kesi, hii inawezekana kiongozi, saudari hakawii kusema huyu ni pacha wake...
 
Last edited by a moderator:
..si unajua bongo hata walioshikwa na ushahidi kama epa walishinda kesi, hii inawezekana kiongozi, saudari hakawii kusema huyu ni pacha wake...

Mkuu Gefu tutaleta ushahidi wa Video
 
Last edited by a moderator:
Haka kautani kanifurahisha, nadhani nitakuwa nimeongeza sekunde kadhaa za kuishi hapa duniani, Thank God kwa kutuumba na kutupatia vipawa tofauti tofauti.
 
Haka kautani kanifurahisha, nadhani nitakuwa nimeongeza sekunde kadhaa za kuishi hapa duniani, Thank God kwa kutuumba na kutupatia vipawa tofauti tofauti.

Mkuu Lyagwa,bongo yenyewe life span ilishapunguzwa na kulala gizani,simu za mchina,kusimama kwenye madaladala,kupigana mabomu ya machozi,kwanini usicheke ukipata nafasi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…