Maskini Mzee Majuto!


Hata Mimi nimewaza hili...
 




Duuh hawa watu matapelii...ndio maana Bikira wa Kisikuma aliwakimbia!!
 
Hakuna mkataba kwenye kazi za hawa wasanii?

Kama kadhulumiwa basi ni kwa upumbavu wake na huyo dalali wake Wema...
 
Mwafrika mfiche maandishi tu.
Kazi haikuwa na mkataba?
 
Ina maana Wema hana namba za waandaji mpaka awaanike kwenye mitandao?
 
Party yenyewe mbona magumashi sasa ukumbini alikuwepo wema, dj na cute b tu ha ha ha sa hela za kulipa watu watoe wapi
 
Last edited by a moderator:

Hahaaa
Basi sawa
 
Narudia tena hiyo party hakuna aliyelipwa kuanzia big brother big sister mpaka le Madame Wema.. Sijajua kwa nini Wema anatoa malalamiko ya mzee ya kwake hatoi.
 
Hawa jamaa washajialibia , kwanza walianza kuwachokonoa Nyama Choma , sasaivi tena hili kutomlipa mzee wa watu!!! Daah ndo baaas tena wabongo washawatosaa
 
Hiyo Insta Party mmiliki ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…