ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Mm huwa naamn ndoa inajengwa watu 2 endapo tu watajua nafasi walizonazo waztumie vp il kuleta amani ya kudumu ndan ya ndoa zao,na nowdayz wnk watumia cryin as a defence mechanism on doing their rubbish,mke wa mtu urafk wa kiholela na me unakusaidia nn?
Pole sana mkuu. Katika maisha wengi wetu tukiulizwa swali hili, " unatafuta nini maishani? Majibu huwa; nyumba nzuri, gari, nguo e.t.c" Lakini katika maisha huwa tunatafuta "furaha" hayo yote ni njia ya kuifikia hiyo furaha.
Huyo mkeo anahitaji kampani ni upweke unamsumbua mkuu. Jitahidi umuhamishe muwe pamoja anahitaji "furaha".
There is a point in life when a woman need more than money in search for happiness like someone who she can talk to anytime, comfort her, make her laugh e.t.c :A S angel:
mkuu hii nayo inafanyaje kazi!unaiweka kwenye simu zote mbili?Kitu cha "Couple tracker" au "Girl/Boyfriend tracker" inahusu hapo.
Lakini angalia, usije ukajuta na kuuma meno mkuu!! Kumbuka ndoa nyingi zimevunjika kupitia application hizi.
Kitu cha "Couple tracker" au "Girl/Boyfriend tracker" inahusu hapo.
Lakini angalia, usije ukajuta na kuuma meno mkuu!! Kumbuka ndoa nyingi zimevunjika kupitia application hizi.
Piga marufuku simamia nafasi yako kama mwanaume kama anakupenda ataacha huo upuuzi eti wa kuwa na rafiki huku ameolewa
Ushauri bado wahitajika hapa jamani nifanyeje
wasomee albadir wafilie mbali