Maskini mke wangu

Kitendo cha kukaa nae mbal ni jawabu tosha kuwa michepuko itamuhusu huyo jamaa yuko nae ofisini masaa 12 na nyumban masaa 5 hakuna la ziada hapo uneumia😱
 
Wanawake bana yani na kukudanganya kote huko kaona haitoshi kakuigizia Na kuzimia!!!!!!
 
Mwanamke ukishaolewa marafiki wa kiume wa nn, mpige marufuku na asimame kama mwanaume

Tatizo ni kwamba hawa wanawake ndo wanawashobokea sana wanaume mwisho wa siku anapigwa mistari na siku hz neno no kwa wengi halitamkiki ni yes kwenda mbele.
 

Yaani siku hizi tabu tupu ukioa mfanyakazi atakutana na wanaume na kuingizwa mkenge, ukioa golikipa maisha magum utakosa wa kusaidiana naye..Ushauri wangu mkuu mhamishe mkeo muishi naye sehem moja bila hivyo andika maumivu.
 
ukiwa haupo huenda analala hapohapo
ila si rafiki tu jameni lol
 
Nitakwambia kwa kifupi....hapo mchezo ushafanyikaa...nnajua story moja inafanana na hiyo..Janja ya kulia ni zuga
 
Mkuu @uwoga umasikini ....dalili ya mvua ni mawingu na ukiona panapofuka moshi ujue...
 

Acha wasiwasi muamini mkeo
 
hiyo ni defencive mechanism yake! nilishakua na demu wa hivyo! nikawa namuonea huruma naona kama namuonea, mwisho wa siku yale niliokua nikimuuliza mpaka analia niliyabaini ..........
NOTE: mwanamke cyo wa kuamini.

Grand PA
 
Pole sana mkuu. Katika maisha wengi wetu tukiulizwa swali hili, " unatafuta nini maishani? Majibu huwa; nyumba nzuri, gari, nguo e.t.c" Lakini katika maisha huwa tunatafuta "furaha" hayo yote ni njia ya kuifikia hiyo furaha.
Huyo mkeo anahitaji kampani ni upweke unamsumbua mkuu. Jitahidi umuhamishe muwe pamoja anahitaji "furaha".
There is a point in life when a woman need more than money in search for happiness like someone who she can talk to anytime, comfort her, make her laugh e.t.c :A S angel:
 
Mwenzetu umeoa au ni kama sie tunaotheorisi tu.
 
unachapiwa kitandan kwako mkuu, tena sio kugusa tu bali unachapiwa hasa.
 
unatumia simu au desktop?,,amna kituo mkato wala alama yeyote ya kumpumzisha msomaji,,,umeandika insha ee,,by the way km mnakaa mbali ukimegewa unashukuru au unataka akapange mstari
 
kwa nini usikae nae?,unamwacha mbali ili iweje?
,elewe yeye ni binadamu na ni mdhaifu pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…