Maskini Mji wa Moshi

wewe mleta mada unajua mji wa ni barabara ya KCMC tu? Hebu tuambie kwenu wapi?
 
Hongereni sana akina mama na wakazi wa Moshi kwa kuchapa kazi kuliko miji mingine.

Asubuhi na mapema mnadamka na huduma za vyakula stand zipo masaa 24.

Pia utunzaji mazingira ni No. 1, nyie ni darasa Tanzania.

You are simply the best. Keep it up !
 
Miti mirefu imezidi maghorofa ha ha ha ha umenichekesha sanamkuu

Tunamshukuru muweka picha, maana hawajamaa kwa kujinadi...kumbe hata maghorofa yenyewe yanazidiwa na miti kwa urefu, si umeona mkuu ktk picha?
 
Mti wenye matunda ndo unapigwa mawe... Source ni kwamba watanzania wengi wanaichukia kilimanjaro pamoja na serikali ya ccm. Sababu kubwa ni kwamba wachaga ni wajanja..... na mngejua tu hii michaga ilivyo na mihela huko benki ni shida kabisa. Kuna rafiki yangu anafanya benki amenipa mrejesho mpaka nimeshangaa
.. Kwa mliopo benki mnaweza mkasaidia kwa hili...
 
Mapovu Ya Nini? Kwani Majambazi Na Matapeli Wengi Wanatoka Wapi Tanzania? Mmefilisi Hadi Che Nkapa!!!!!!!!!!!!!!!!!!

1.majambazi wanatoka kigoma, 2.matapeli kwao bukoba,
3.wa vigodoro dar na pwani,
4.wezi Wa mifukon Tabora ,
5.wachapa kazi na kujituma Moshi kilimanjaro,
6. Arusha mateja
Haya we GENTAMYCINE wa wapi? Kigoma??
 
Last edited by a moderator:
1.majambazi wanatoka kigoma, 2.matapeli kwao bukoba,
3.wa vigodoro dar na pwani,
4.wezi Wa mifukon Tabora ,
5.wachapa kazi na kujituma Moshi kilimanjaro,
6. Arusha mateja
Haya we GENTAMYCINE wa wapi? Kigoma??

7.Wadhulumaji jeee?
 
Last edited by a moderator:
1.majambazi wanatoka kigoma, 2.matapeli kwao bukoba,
3.wa vigodoro dar na pwani,
4.wezi Wa mifukon Tabora ,
5.wachapa kazi na kujituma Moshi kilimanjaro,
6. Arusha mateja
Haya we GENTAMYCINE wa wapi? Kigoma??

Atokapo Hayati Mwalimu na Che Nkapa ( Tanzania ) / Cyagungu ( Rwanda ). Je Una Swali Lingine Mkuu?
 
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…