huyu mtoto sidhani kama anaishi segerea! mbona kila anapokwenda mahakamani anakuwa anang'aaa na mitindo ya nywele kila mara anabadilisha! kweli jela zetu zimeboreka kwa namna hiyo! mmmh:spy:, si lulu pekee mwenye kesi kama hiyo, wapo watz kibao na hawana hata pakuegemea nadhani hawa ndo watakuwa wamwakufa kabisa kisaikolojia! inabidi pia nao waangaliwe mana wapo wenye matatizo zaidi ya lulu! bali kwa kuwa tunamunaga kwenye kideo basi tuna mconsider sana! hapana bana tuangalie na upande wapili washilingi