Ndugu mbona unazunguka sana? Nimesema mjanja ujifunza kwa makosa ya watu wangine na si kwa makosa yake, Jk alitakiwa kurekebisha makosa ya awamu zilizomtangulia, hata Raisi atakae kuja baada yake kama atashindwa kurekebisha makosa ya awamu zilizomtangulia naye tutamshambulia na kumpa majina kama tunavyofanya kwa Jk bila kujali atakuwa nani au anatoka chama gani.
bunge lina malaka ya kupiga kura ya kutokuwa na imani na rais ndugu yangu!!! Na likifanya hivi rais anavunja bunge na kuitisha uchaguzi mpya hapo ndio karatasi inaweza kuamua tena lakini tujiulize bunge letu lina wabunge wa aina ganii? Ni wale wa ule wimbo wa hip pop wa ndio mzee!!! (i.e wabunge wa sisim)
Watch/Read my lips - nimesema katika kipindi cha takribani miaka 30 na ushee tulikuwa na matatizo kama haya haya, mbona mlikosa ujasiri wa kuwasema/kuwalaani walio mtangulia kwa kushindwa KWAO kurekebisha MAMBO, repeat WHY PICK ON HIM?
Kitu kingine wana JF wana uhuru wa kutoa maoni yao - we can agree to disagree, hivyo ni vema kutumia lugha za staha, alafu haipendezi kujadili watu na mambo yao binafsi ambayo hatuna ushahidi nayo, kwa mfano: Sijuhi kama una ushahidi wa kuonyesha kama uliye mtaja humu anuhusika na tuhuma za Babu SEYA! Hayo mambo ya Babu huyo yanakujaje hapa? Wakati mwingine tunapashwa ku-refrain from chuki zetu binafsi kutawala jamvini badala ya kujadili vitu vya kusaidia TAIFA letu kustawi - nimesema mpeni maoni yenu ya kulisaidia TAIFA letu na sio kumshutumu come rain or shine, period.
Ndugu, mbona umeng'ang'ania sana miaka 30 iliyopita? Watanzania wa sasa siyo wale wa miaka 30 iliyopita, na wakati huo nchi ilikuwa ya chama kimoja na tulikuwa haturuhusiwi kusema neno zaidi ya zidumu fikra za mwenyekiti na pia rasili mali zetu nyingi zilikuwa hazitumiki na hakukuwa na mitandao ya kijamii kama sasa, habari zote tulitegemea RTD na magazeti ya Uhuru na Mzalendo, pia kumbuka miaka 30 iliyopita idadi kubwa ya wanachama humu Jf tulikuwa watoto, mimi nilikuwa na miaka mitano. Inamaana kiongozi akishindwa kurekebisha makosa ya waliyomtangulia asilaumiwe? Na kama hawezi kurekebisha basi aachie ngazi, tutafute watakaoweza. Usitetee U-dhaifu.
Kuna vituko duniani wewe ndio wa kumuonea huruma JK..
Jionee huruma wewe mwenyewe kabla hujawaonea huruma wengine
Ndugu, usipoteze lengo - please revisit post yangu ya kwanza, nilitangulia kuzungumzia kipindi cha Mzee Ruksa alafu nikaja kipindi cha taugh BENNY hapo tunazungumzia miaka 20 (ishirini) kipindi cha Kambarage niliongezea tu ku-draw attention ya wana JF wajue mambo ya Viongozi kushindwa kuwajibika ipasavyo na udokozi havikuhibuka gafla bin voom! Sasa swali: Je katika kipindi hicho kulikuwepo magazeti ya watu binafsi mangapi? Radio na TV za watu Binafsi ngapi? Vyama vya upinzani vingapi? Kumbuka kwamba katika kipindi hicho kulikuwa na uhuru wa vyombo vya habari hadi leo, vile vile na vyama vya upinzani viliruhusiwa lakini madudu yalikuwa yanaendelea unabated, two decades is no laughing matter. Kusema ulikuwa mtoto is no excuse kwa nini usomi historia au kuhuliza walio kuzidi umri ili at least uwe na basis za kumlahumu bila simile kiongozi wako wa sasa hivi, kumbuka kuna wana JF wa lika lako ambao wanafanya utafiti kwanza (past history) kabla ya ku-file posts za kulahumu leadership quality ya Kiogozi mkuu wa TAIFA kwa kuangalia mabaya tuu wakati wote bila ya kuzungumzia mazuri ambayo amefanyia TAIFA hili within six years of his admistration. See - watu makini usema no research no....
JK ni mswahili mwenzetu sio mtawala (Kiongozi) kutoka nchi za nje (mkoloni), wala sisemi JK ni Malaika Gabriel kwa hiyo hana mapungufu yake kama binadamu wingine tulivyo, cha muhimu hapa ni sisi kubadirisha mind set zetu tuweze kumpa ushirikiano, ushauri na maoni kwa ajili ya ustawi wa TAIFA letu bila kutumia lugha za kashfa na mambo ya kumkatisha tamaa; tutabaki TAIFA la kulalamika mpaka lini? Mbona mtu kama Zitto Kabwe anatoa ushauri/maoni yenye mshiko na Serikali yetu tukufu inamsikiliza - WEWE JE?
jela jela aaaaahVina panda bei kila siku vitu vinapanda bei x 3.
we mama weeee x 1.
Kajana mmoja anasikika akiimba redioni.
Bukyanagandi Hebu tujaribu ku-analyse awamu zote tatu bila kuwa biased/jazba said:Economic TURMOIL na Mismanagement[/B] kwa kipindi cha miaka 35 (thelathini na TANO) repeat 35 kabla ya Jakaya hajashika usukani, hilo watu awalioni/kumbuka. Hivi tunamtendea haki kutegemea kwamba Jakaya anaweza kweli kusafisha madudu walio hacha wenzake within a record TIME ya miaka SITA!!!! hata Marshal plan haikuwahi ku-achieve such a feat at such a megaspeed.
[/B]
Ndugu, usipoteze lengo - please revisit post yangu ya kwanza, nilitangulia kuzungumzia kipindi cha Mzee Ruksa alafu nikaja kipindi cha taugh BENNY hapo tunazungumzia miaka 20 (ishirini) kipindi cha Kambarage niliongezea tu ku-draw attention ya wana JF wajue mambo ya Viongozi kushindwa kuwajibika ipasavyo na udokozi havikuhibuka gafla bin voom! Sasa swali: Je katika kipindi hicho kulikuwepo magazeti ya watu binafsi mangapi? Radio na TV za watu Binafsi ngapi? Vyama vya upinzani vingapi? Kumbuka kwamba katika kipindi hicho kulikuwa na uhuru wa vyombo vya habari hadi leo, vile vile na vyama vya upinzani viliruhusiwa lakini madudu yalikuwa yanaendelea unabated, two decades is no laughing matter. Kusema ulikuwa mtoto is no excuse kwa nini usomi historia au kuhuliza walio kuzidi umri ili at least uwe na basis za kumlahumu bila simile kiongozi wako wa sasa hivi, kumbuka kuna wana JF wa lika lako ambao wanafanya utafiti kwanza (past history) kabla ya ku-file posts za kulahumu leadership quality ya Kiogozi mkuu wa TAIFA kwa kuangalia mabaya tuu wakati wote bila ya kuzungumzia mazuri ambayo amefanyia TAIFA hili within six years of his admistration. See - watu makini usema no research no....
JK ni mswahili mwenzetu sio mtawala (Kiongozi) kutoka nchi za nje (mkoloni), wala sisemi JK ni Malaika Gabriel kwa hiyo hana mapungufu yake kama binadamu wingine tulivyo, cha muhimu hapa ni sisi kubadirisha mind set zetu tuweze kumpa ushirikiano, ushauri na maoni kwa ajili ya ustawi wa TAIFA letu
Sawa ndugu, walikuwa wadokozi na walishindwa kuwajibika. Hapa inaonekana unataka kutuambia kwamba kila kiongozi atakaekuja ana haki ya kufanyanya madudu kwakuwa waliomtangulia walifanya hivyo na wananchi hatuna haki ya kuhoji kwa sababu hapo mwanzo hatukuhoji. Maswali yako yamejibiwa hapo juu na wakuu; ALBERAPS na BOBUK.

Ndugu Joe, Ndugu wataja wamenielewa vizuri sana - wamenitia moyo, wako makini sana ku-analyse mambo with an open mind! Hii ni dalili tosha kwamba wanajali TAIFA lao na hatma yake kuliko itikadi zao. Ntawajibu in details usiku huu.