Mwana wa Nuru
JF-Expert Member
- Dec 3, 2012
- 590
- 415
Siasa za dunia hii si njema hasa kwa Taifa la Israeli kwani dunia yaonekana kuwabeba mahasimu wao ambao wangependa taifa la Israeli kisiwepo kabisa.
Iweje wanapojilinda na kutetea haki yao kuishi waonekane makatili huku adui zao wakirusha makombora?
Hivi hayo makombora wanayorusha Hamas wanayatoa wapi kwa wingi wake na yanawafikiaje?
Huku kusimamisha vita si kutaka kutoa mwanya kwa Hamas kuingiza makombora zaidi kwa kisingizio cha kuingiza chakula na misaada ya kiutu na maendeleo wakati shehena za silaha toka maadui wa Israeli zikipitisha muda huohuo?
Mbona hatuja sikia wanaoilaani Israeli leo wakimlaani Al Asaad wa Syria au wale waasi kwa mauaji ya maelfu ya raia wa Syria?
Wako wapi hata wasikemee mauaji yanayofanywa na ndugu zao ISIS kwa maelfu ya washia, wazaidi na wakristo wa Iraq wakati Allah kasema 'hakuna kulazimishwa mtu kuingia katika dini bali kila mtu aiona jaza yake siku ya hukumu?
Mbona wako kimya kwa mateso na vifo vya wakristo na watu wa dini zingine na wale wa misimamo/ itikadi tofauti kule Indonesia, Pakstan, Afrighanstan, Misri, Iran, na nchi nyingi za kiarabu/kiislamu?
Napendekeza dunia kuwa na uwanja sawa kwa wote na tuwasaidie Israeli kujilinda.
Double standards kama za mheshimiwa 6 hazitatufaa hapa.