Maskini ila tuna FURAHA

ivi huwa inakuwaje mpaka mtu anazungusha form four!
yaani miaka minne unasota school then mwisho wa siku unakuja mtaani na Obama!
mie ningekuwa ndo Ndalichako hakika lile suala la kupokelea matokeo mahakamani ndo kingekuwa kipaumbele changu.
Huwezi jua ndugu yangu tumeumbwa tofauti. Hebu vuta picha ingekuwaje kama tungekuwa tunafaulu wote
 
unaweza kuwa masikini lakini ulifaulu mtihani wa darasa la nne, sio kama bashite.bashite alifeli hadi standard four, akazungusha form four, lasaba ndio kabisa alifeli, university ndio kabisaaa.
 
Niliipenda sana, ilikua nzur
Ile ilikuwa ni the finest, sjaona tamthiliya zime fika kiwango ile tena.
Well
Ntakuwa nakuita Barbarita nikikuona popote usishangae jua ni jina lako.
Its cute nem
 
dah namwonea huruma nikiwaza je ofisin anakwenda? Panakalika?

Je nyumbani inakuwaje? Ndugu zake, mwenyewe amezoea maisha haya ya heshima mara alindwe mara nn,

dah lazima umkumbuke kikwete. Haya yote yasingetokea.

Kwa sasa tulia, ukitumbulia fanya biashara hope ulikuwa unawekeza,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…