kosa la kuzini nje ya ndoa katu halina msamaha,mwenyewe ushakiri one night stand na cacico,asprin tupa kurrreeee huyu mwanamke aisee.Mimi na mwenzangu cacico tukaona si vyema kukaumiza ka kikongwe ka watu,
Tukaamua rasmi tulikatishe lile penzi letu motomoto.
Sio kwamba tuliogopa kugandana hapana, ni kwa upendo tu tukasema Asprin anahitaji kuishi, bila wewe cacico hawezi kuishi.
Hapo sasa ndipo cacico alipofanya jitihada za ziada na kuniacha kwa mdada wa Kizayoni Zion Daughter
stori zipi tena mamito?
keshagundua ameharibu big time,unaacha mwanaume wa maana kisa muuza madini ya kimagumash?
Si umeona mkuu mwenzangu Bishanga. Nimeamini kale ka msemo kila king'aacho si dhahabu na ajidhaniaye kasimama aangalie asije akaanguka.
Ntahitaji kikao na wakongwe wenzangu Dark City Mtambuzi na Kaizer kuujadili huu mustakabali. Hakikisha unawaalika vijana wetu Nicas Mtei Filipo na Arushaone wapate uzoefu ili yakiwakuta wasinywe sumu.
Nakala ya kikao usikose kuniminute kwa taarifa na utekelezaji zaidi, nataka tumshungulikie Bishanga aiseeeee.
Ndio, natumia kinga dhidi ya tego la kugandanaBujibuji full tamaa ka lifisi maji? sijui anatumia kinga mi hata sielewi.
wewe ni Me au Ke?
mmh..mlongolongo wa stori zenu huniacha hoi kwakweli..
Si umeona mkuu mwenzangu Bishanga. Nimeamini kale ka msemo kila king'aacho si dhahabu na ajidhaniaye kasimama aangalie asije akaanguka.
Ntahitaji kikao na wakongwe wenzangu Dark City Mtambuzi na Kaizer kuujadili huu mustakabali. Hakikisha unawaalika vijana wetu Nicas Mtei Filipo na Arushaone wapate uzoefu ili yakiwakuta wasinywe sumu.
shoga angu kazi ulikuwa nayo! mwanaume ana ulimi mrefu ka joka la CCM! Bishanga umbeya hauna posho! watu wakirudiana utapata aibu mpaka kikojoleo chako kitainama MILELE kwa haya! shaurilo!ingekuwa heri leo usikie kilio changu cha kumwajibisha Bishanga usifanye mgumu moyo wako
eenh hebu tueleze, maungo gani ya mwili ndio huwa hoi zaidi kwa stori zetu???