mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Hawa wanajulikana kama "weed Nuns" wanaamini Utatu mtakatifu wao hupo katika bangi
Dunia inamambo si mchezo...
Source:Reuters
Nmekupenda bureeee! Weledi wa standard gaugeUzuri ni kuwa MUNGU WA WAKRISTO hakai kwenye mavazi, vilemba au mahekalu ya mikono BALI hukaa ROHONI mwa mtu binafsi.
Kuvaa kilemba kama sista, au kuvaa kipedo, au kuvaa kanzu hakumpeleki mtu mbinguni BALI MATENDO yake.
[HASHTAG]#Nakupenda[/HASHTAG] Yesu#
wala pekee nisinge kushutumu sababu hakuna kibaya chochote ndani ya huo mmea na mtumiaji mwenyewe
sio uchochezi mkuuUchochezi
wala pekee nisinge kushutumu sababu hakuna kibaya chochote ndani ya huo mmea na mtumiaji mwenyewe
ukiwa na maana gani tafadhali
Uko sahihi hawa sidhani kama wanauhusiano wowote na Cathoric church. Wao wanamambo yao na imani yao ingawa wanavaa kama hawa tunaowaona nao ni NUNS.The sisterhood stresses that its seven members,
despite the moniker, do not belong to any order of
the Catholic Church.
"We're against religion, so we're not a religion.
We consider ourselves Beguine revivalists, and we
reach back to pre-Christian practices," said 58-
year-old Sister Kate, who founded the sisterhood
in 2014.
"We've gotten a few hate calls but, by and far,
the Catholics understand what we're doing."
SISTER KATE, FOUNDER
nakupenda piaUzuri ni kuwa MUNGU WA WAKRISTO hakai kwenye mavazi, vilemba au mahekalu ya mikono BALI hukaa ROHONI mwa mtu binafsi.
Kuvaa kilemba kama sista, au kuvaa kipedo, au kuvaa kanzu hakumpeleki mtu mbinguni BALI MATENDO yake.
[HASHTAG]#Nakupenda[/HASHTAG] Yesu#