Masikitiko: Televisheni za Tanzania zapoteza Watazamaji wa ‘Taarifa ya Habari’

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,306
Reaction score
271,572
Timu yetu ya Uchunguzi ambayo bado inaendelea na kazi tuliyoikabididhi, umebaini kwamba Taarifa za Habari zinazotangazwa n.a. Vituo vya TV vya TANZANIA imepuuzwa n.a. wananchi kwa kiwango cha kutisha

Uchunguzi huo umeendelea kufumua chanzo cha kupuuzwa huko huku ikidaiwa sababu kuu ni wananchi kuchoshwa na uongo wa viongozi wa Nchi, ambao kwa % kubwa ndio wanaotangazwa Binafsi kwenye TV hizo, badala ya maendeleo ya Nchi

Taarifa zingine zinaeleza kwamba kutokana n.a changamoto za Maisha yao wananchi wameamua kujikita kwenye vipindi vya kujiliwaza kama Kombolera n.a. Sultan

Natoa Wito kwa Televisheni za Tanzania kutafuta vipindi vya kusisimua vitakavyoziba nafasi badala ya Taarifa za habari za viongozi ambazo hakuna anayetazama
 
Bora kuangalia sinema zetu kuliko kuangalia taarifa ya habari
Ambayo huamza na
Raisi muuaji
Makamu
Mascarf aka guys
Mawazir
Rcs
Dcs
Ujinga na uongo mwingiiiii
Mpaka Leo hakuna chombo kilichoandika mauaji baada ya uchaguzi
 
2014 to 2015. Bar nyingi zilikuwa na utamaduni wa kuweka Taarifa ya habari kila ifikapo saa 2 usiku. Siku hizi ni Amapiano tu.
 
Nilikuwa ninaiamini sana ITV kwenye habari ila kwa sasa ni opuuzi mtupu, yaani taarifa nzima na kuipamba ccm na serikali yake mwanzo mwisho.

Kama nao wameshanunuliwa na hicho chama kama Chanel Ten waseme.
 
Kama mtu yeyote ni kama wewe haina haja ya kuuliza. Labda niwaulize kama wanaijua hiyo chanel
nimepita maeneo mengi kwa sasa wamekaa mkao wa kula wakisubiri tafakuri baada ya habari TBC
 
Timu yetu ya Uchunguzi ambayo bado inaendelea na kazi tuliyoikabididhi, umebaini kwamba Taarifa za Habari zinazotangazwa n.a. Vituo vya TV vya TANZANIA imepuuzwa n.a. wananchi kwa kiwango cha kutisha

Uchunguzi huo umeendelea kufumua chanzo cha kupuuzwa huko huku ikidaiwa sababu kuu ni wananchi kuchoshwa na uongo wa viongozi wa Nchi, ambao kwa % kubwa ndio wanaotangazwa Binafsi kwenye TV hizo, badala ya maendeleo ya Nchi

Taarifa zingine zinaeleza kwamba kutokana n.a changamoto za Maisha yao wananchi wameamua kujikita kwenye vipindi vya kujiliwaza kama Kombolera n.a. Sultan

Natoa Wito kwa Televisheni za Tanzania kutafuta vipindi vya kusisimua vitakavyoziba nafasi badala ya Taarifa za habari za viongozi ambazo hakuna anayetazama
Kama magazeti tu. Hakuna.mtu anahangaika nayo.
 
Back
Top Bottom