Masikitiko: James Lembeli kupigwa chini

rudi utawaze kwanza.mabadiliko lazima mwaka huu
 
ni sawa tujitambue, mwambie huyo kichaa mwenzio aache kuweka mapicha kwenye uzi za ukawa. Aanzishe za kwake fresh

thats typical and true colours of ukawa ......ubinafsi na matusi...povu la nini...hii ni jamii forum...kila mtu ana uhuru wa kuandika anachotaka...hakuna mwenye thread hapa.....mambo yako ya kaskazini yapeleke huko...tena andika kwa kilugha chako cha asili kama unataka kumiliki thread....
 
DEBE TUPU kama upo Masaki jamaa wanapoteza pesazao kukulipa kwani hata hiyo kazi pia huiwezi.Zero brain
 
mleta uzi bila shaka ndani ya kichwa chako mna friji hivyo ubongo wako umeganda.HAYA KIMBIA LUMUMBA UKACHUKUE BUKU SABA YAKO MANA MIDA YA LANCH HII.

Hahaaaaaaaa I love jf: yaani nimecheka mno hadi nimelia eti kichwani kwa mtu kuna friji. ...teh teh teh. Sasa hivi kwa nini hampendi habari za huzuni mnapenda furaha tuuu?
 

La kuvunda huwa halina ubani. Dhambi ya usaliti itaambatana naye kokote aendako
 

Mnajitekenya na kucheka wenyewe! Mwaka huu Kahama for Ukawa.
 
Ma....ku mkubwa weeee
 
Lembeli ni jembe,hata alipokuwa ccm hakuogopa kusema ukweli,ndo wabunge tunao wataka,sio wabunge wenu wa ccm kila hoja inayoletwa na serikali wanaunga mkono mia kwa mia.
 

Popoma wewe,Lembeli yuko fiti na sasa kamaliza mkutano mkuuuubwa Kakola na amesema ashamliza kampeni Kahama.
 

Attachments

  • 1443267070637.jpg
    70 KB · Views: 971
  • 1443267106776.jpg
    71.4 KB · Views: 737
  • 1443267137429.jpg
    70.4 KB · Views: 719
  • 1443267170797.jpg
    56.7 KB · Views: 695
  • 1443267185392.jpg
    52.7 KB · Views: 639
ala! Mnaleta habari za kizushi mpaka majimbo hamkubaliki? Hebu kuweni serious.
 
Hivi masilahi mapana ya taifa maana yake huwa ni kwa manufaa ya CCM?
 
Ndo madhara ya kuleta uzi huku upo chooni, maana umesahau kuchamba...
 
Eenhe,ebu tupia vitu!Hv yule Kishmba anayegombea Kahama ndo huyo wa Imalaseko?
Ndo yeye mkuu kazi ipo Lembeli aongeze bidii huyu jamaa alishaanza harakati enzi ya mkapa si wakupuuzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…