Masikitiko: CHADEMA pesa ya ruzuku ni kwa ajili ya nini? haitumiki kutibu viongozi?

Ina maana siku hizi Serikali haisaidii wananchi maskini kwa ajili ya Matibabu yaliyoshindikana nje ya nchi?.Ina maana tumeshafilisika kwa kiwango hicho?.
Kama ni hivyo serikali iweke wazi ili wasamaria wema wajitokeze kumsaidia.
We mbona huhoji kufilisika kwa chadema kwenye hili? Ruzuku ina kazi gani? Mbona mnakuwa wavivu wa kuona yaliyo dhahiri!
 
Mbona we mkeo anatembea na house boy tumekutunzia siri yahome kwako yanakushinda kazi kufatilia ya watu.... kutiwa atiwe Dada yako kulia ulie wewe
Natambua uwepo wa Hospitali ya Rufaa ya Milembe.
 
Kaa kimya kuficha ujinga.
Watoto chini ya miaka 5,
Wazee miaka 60+,
Kina mama wajawazito,hawa Huduma zao ni bure kabisa lakini sio kwamba ni purely bure,kuna baadhi ya Huduma ambazo ni lazima alipie kama hana BIMA ya afya. Na kama una BIMA ya afya siyo kwamba Huduma zote utapata kwa BIMA yako,kuna baadhi ya Huduma na vifaa/dawa ambazo hazilipiwi na BIMA ya afya.
Kwa swala la mhere,tumejitoa kwa hali na Mali sana kumsaidia zoezi likiongozaa na Malisa G ambaye ndiyo amekuwa anaratibu mpango mzima,baada ya marafiki,ndugu na wanachama kujitolea kumsaidia kwa Mara ya kwanza,kama chama pia kinawajibika Kumwangalia kwa jicho la Tatu.
Mimi ni mwanachema ila siyo mjinga kama wewe.
Jielewe na acha kutanguliza chama kwenye swala la afya ya mhere

Wewe ujinga umekujaa.
Serikali inahamasisha kujiunga na Bima ya Afya lakini siyo kigezo cha kumwacha asie na uwezo afe kwa kukosa Matibabu.Busara ni kutibiwa baadaye alipe hizo gharama.
Unasema watoto chini ya miaka 5 na wazee miaka 60+ wanatibiwa bure lakini sio huduma zote,sasa nini maana ya bure.

Kama CHADEMA mnataka kumchangia nendeni kwenye ofisi zenu mkashirikishane lakini sio kutuletea ujinga wenu huku ambapo tunahitaji kujadili mambo kwa busara na uchambuzi wa kina.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wewe ndio ujinga umekujaa.

Kodi inalipwa kwa ajili ya huduma kwa mwananchi.

Kuwa mwanachama wa chama cha siasa haina maana kwamba umekosa haki ya kuhudumiwa na serikali.

Jiulize swali rahisi,

"Kama huyo Jamaa asingekuwa mwanachama wa Chama chochote cha siasa na hana Bima ya Matibabu,Je ni sahihi Serikali kumwacha afe kwa kukosa matibabu?
Ndo maana nimesema hivi unaongea upupu. Hujui hata Sera ya Huduma ya afya. Mpeleke mgonjwa wako hospitali ukiwa huna hela. Mgonjwa atakufia mkononi kwa kukosa hata sutures pamoja na dawa. Nimekwambia mm ni Mtumishi wa serikali kwa miaka 10 sasa katika afya. Hakunaga utumbo kama huu unaoleta hapa.
 
We mbona huhoji kufilisika kwa chadema kwenye hili? Ruzuku ina kazi gani? Mbona mnakuwa wavivu wa kuona yaliyo dhahiri!

CHADEMA inahusu wahusika wenyewe ila siamini kama kazi ya Ruzuku ni kutibu wanachama.
Tanzania hatuendelei kwa sababu wengi hawana uwezo wa kuchambua mambo.
 
Vijana wa bavicha nadhani leo mmepata pichaya jinsigani Chama chenu kinavyo shughulika na matatizo mtakapo yapata mkiwa kwenye harakati za kisiasa. Ndio maana uwa mnashauriwa kwenye Maandamano muwaachie viongozi na familia Zao watangulie mbele.
Kama ikitokea vurugu na ukaumia ilo litakua lakona familia yako.
 
Ndo maana nimesema hivi unaongea upupu. Hujui hata Sera ya Huduma ya afya. Mpeleke mgonjwa wako hospitali ukiwa huna hela. Mgonjwa atakufia mkononi kwa kukosa hata sutures pamoja na dawa. Nimekwambia mm ni Mtumishi wa serikali kwa miaka 10 sasa katika afya. Hakunaga utumbo kama huu unaoleta hapa.

Kwa hiyo unataka kusema CHADEMA ndio ina sera ya Afya ya Kuhudumia wanachama wake?.
 
Nimekuwa mwanachama wa Chadema tangu 2000. Nimekuwa nafuatilia kwa karibu sana mwenendo wa afya ya Mwanachama kijana wa chadema ndugu Mhere Mwita aliyepata ajali 3.10.2016_ akiwa katika shughuli za kichama mkonai Dodoma. Natambua wanachama wa chadema tulichanganishana toka mhere apatwe na tatizo mpaka kufikia hatua ya kuimarika na kuruhusiwa kuondoka muhimbili. Siku za hivi karibuni,kijana huyu alitangaza kuuza kiwanja chake ili apate matibabu zaidi ambayo yanagharimu 3.5M
Maswali yangu kwa uongozi wa juu wa chadema na Bavicha Taifa.
1. Rudhuku ya chama ni kwa ajili ya kuwawezesha viongozi wa chama Taifa kusafiri nje ya nchi na kufanyia harakati nchini?
2. Mchango wa chama uko wapi kwenye suala la afya ya Mhere Mwita?
3. Malisa Godlisten na wanachama wengine ndiyo pekee wanaratibu mipango ya kumtibu mwanachama mwenzao bila chama kuingilia kati?
4. Mbowe na Genge lako la uongozi wa juu hata kama mulichangia kiasi chochote katika matibabu ya Where Mwita,Tamkoa chama ni lipi juu ya matitababu zaidi ya kijana huyu ambaye anatakiwa kutibiwa kwa gharama ya 3.5m?

Chadema inawatumia vijana na kuwatelekeza baada ya kuvuna matokeo chanya?

Nakumbuka Juliana shonza alipohamia CCM aliwahi kusema kuwa chadema inawatumia vijana na kuwatelekeza, hii nimeanza kuiamini kwa misingi kwamba katika swala la mhere Mwita,chama kama chama kimeshindwa kutoa japo msimamo wake namna ya kumshughurikia huyu kijana aliyeumia akiwa kazini kukipigania chama chake.

Matokeo ya chadema kutokuwa na kauli juu ya afya ya Mhere Mwita.

Kiuhalisia,kutokana na viongozi wa Kitaifa wa Bavicha na chama kwa ujumla kushindwa kuonesha namna ya kuwasaidia vijana na wanachama wengine pindi wanapopata ajali kazini inaweza kukatisha moyo vijana kujitoa kukitumikia chama.

Mwisho.

Bavicha na uongozi wa juu wa chadema toeni pesa kwa ajili ya matibabu ya Mhere Mwita. Rudhuku ya chama siyo ya kufanyia ziara tu nchi za nje.

Mbowe na mwenyekiti wa Bavicha Taifa kama mumeshindwa swala DOGO tu la 3.5m kwa ajili ya matibabu ya Mhere Mwita bado mnajiita viongozi mathibuti wa chama?
Mbowe and katambi would you please stepdown.

Rais2020
Rais wa mioyo ya watu.
Rais arakayewafanya muishi kama malaika.
Hebu tuwekee kadi yako ya uanachama tujiridhishe!@Moderators suala hili lilishatolewa ufafanuzi na muhusika na zaidi ya yote kaweka wazi kuwa watu kama hao wanataka kumchonganisha na chama!Uzi ule ameeleza kwa kirefu na akasema kwa uzalendo kwa chama ameona asiendelee kukitegemea kwani kila mwanachama akipeleka matatizo yake yatatuliwe na chama basi chama hakitaweza kutimiza majukumu mengine!Ameona mwenyewe achukue hatua,sasa wewe mtu baki unaumia nini?
 
Wewe ndiye ambaye unastahili kuficha ujinga wako kwa kuanzisha uzushi humu. Hii thread muhusika anakanusha uongo ambao ulioandika. Hivi huoni aibu kuja hapa kuanzisha uzi ambao ni uzushi mtupu!?

CHADEMA wamtelekeza Mwenyekiti wa BAVICHA wilaya ya Geita, Mhere Mwita baada ya kupata ajali Dodoma
Rudia kusoma nilichoandika. Sijapinga andiko la mhere mwita. Nimesukumwa kuandika baada ya kuona mhere anauza kiwanja chake I'll apate 3.4m kwa ajili yq matibabu,pamoja na mhere Mwita kuamua mwenyewe kuuza eneo lake ili apate pesa ya matibabu na hii ni kutokana na mchango wote kutoka kwa wanachama na marafiki ambapo kaona bora awapumzishe,issue ni kwamba chama kiko wapi?
Mhere ni mtu Wangu wa karibu sana na niseme wazi kuwa chama kiko kimya. Acha umbumbumbu
 
Nakubaliana na wewe kuhusu nature ya members wa JF na ndio maana hata mimi nilizungumzia suala la kuushirikisha uongozi wa JF!! Hivyo basi ingekuwa ni process na sio tu suala la mtu kuandika thread ya kumchangia mwenzetu!!

Na katika kuhusisha uongozi wa JF (originally like selling the idea) I hope uongozi wa JF ungetaka uongozi nao (BAVICHA) nao wahusishe ili isionekane mtu binafsi anataka kupiga pesa!!!

Clouds tunaowakejeli kila siku wamekuwa wakifanya haya mambo na wananchi wengi wamekuwa wakisaidiwa; WHY NOT JF?!
Mkuu una mawazo mazuri sana na ambayo sio driven na influence ya chama chochote. Nitalifanyia kazi swala hili
 
Naona ni bora ungejiita Farujike. Huna unachokijua juu ya taratibu za matibabu nchini.

Wewe ndio unatetea Ujinga.
Kama Serikali inayokusanya Kodi inashindwa kutoa huduma inayojitosheleza kwa Wananchi wake itawezekanaje kwa Chama cha Siasa?.

Uwezo mdogo wa kufikiria ndio tatizo kubwa sana kwa Watanzania.
 
Sasa kama hujapinga andiko la mhusika kungekuwa hakuna sababu ya kuanzisha uzushi. Rudi kamsome tena muhusika. Mtu unapougua na gharama zako za matibabu kulipwa zote bado unakuwa na gharama nyingine mbali mbali ambazo wewe huzifahamu na hazihusiani na huyu kuwa mgonjwa. Acha kukurupuka na kuandika uzushi.

Chadema imenifanya kuheshimika, chadema imenifanya kutambulika, chadema imenithaamini sana wanaoleta propaganda nawaambia Mimi nahitaji chadema kuliko yenyewe inavyonihitaji Mimi.

Wanachadema wenzangu asanteni sana kwa kunipigania mwanzo mpaka sasa msikatishwe tamaa na Propaganda za maadui wangu na wachama chetu wanaojifanya kunipenda wakati Mimi ni MTU mzima ninajua wanaonipenda kwa Dhati kwa hiyo waacheni wajichetue tu.

Asanteni sana

Ni Mimi Mhere Mwita wa Geita


Leo nimegundua na wewe ni kilaza kama vilaza wengine. Rudia kusoma nilichoandika. Sijapinga andiko la mhere mwita. Nimesukumwa kuandika baada ya kuona mhere anauza kiwanja chake I'll apate 3.4m kwa ajili yq matibabu,pamoja na mhere Mwita kuamua mwenyewe kuuza eneo lake ili apate pesa ya matibabu na hii ni kutokana na mchango wote kutoka kwa wanachama na marafiki ambapo kaona bora awapumzishe,issue ni kwamba chama kiko wapi?

Mhere ni mtu Wangu wa karibu sana na niseme wazi kuwa chama kiko kimya. Acha umbumbumbu
 
Wewe ujinga umekujaa.
Serikali inahamasisha kujiunga na Bima ya Afya lakini siyo kigezo cha kumwacha asie na uwezo afe kwa kukosa Matibabu.Busara ni kutibiwa baadaye alipe hizo gharama.
Unasema watoto chini ya miaka 5 na wazee miaka 60+ wanatibiwa bure lakini sio huduma zote,sasa nini maana ya bure.

Kama CHADEMA mnataka kumchangia nendeni kwenye ofisi zenu mkashirikishane lakini sio kutuletea ujinga wenu huku ambapo tunahitaji kujadili mambo kwa busara na uchambuzi wa kina.
Ndo maana nikasema mambo ya afya achana nayo maana inaonekana kwenye ubongo wako kumejaa makamasi tu.
Iko hivi kuna Huduma ambazo purely hazitolewi bure hata kama una fall under the three special groups. Swala la mhere siyo la kupeleka kwa mihemko ya kifuasi kama unavotaka liwe
 
Ndo maana nikasema mambo ya afya achana nayo maana inaonekana kwenye ubongo wako kumejaa makamasi tu.
Iko hivi kuna Huduma ambazo purely hazitolewi bure hata kama una fall under the three special groups. Swala la mhere siyo la kupeleka kwa mihemko ya kifuasi kama unavotaka liwe

Hujitambui na wala hujui kwamba hujui.
Kama unafanya kazi Serikalini wewe ni miongoni mwa watumishi hewa.Ndio maana Tanzania inaendelea kuwa Maskini kwa sababu ya ukosefu wa watumishi wenye uwezo wa kuchambua hoja.
 
Kwa hiyo unataka kusema CHADEMA ndio ina sera ya Afya ya Kuhudumia wanachama wake?.
Mkuu Pale inapolazimu. Chama kinawajibika kutoa pesa kwa ajili ya kugharamia matibabu ya mgonjwa ambaye ni kiongozi. Mhere Mwita ni mwenyekiti BAVICHA wilaya. Hivo anastahili kupewa msaada wote na chama ili kuokoa maisha yake. Assume Mbowe ni mgonjwa na hana BIMA ya afya. Chama kitashiriki VP?(keep constant kama kiongozi wa upinzani bungen?). Uking'amua hili hakika tutaenda sawa
 
Mkuu we ni boooonge Moja la jinga. Pale inapolazimu. Chama kinawajibika kutoa pesa kwa ajili ya kugharamia matibabu ya mgonjwa ambaye ni kiongozi. Mhere Mwita ni mwenyekiti BAVICHA wilaya. Hivo anastahili kupewa msaada wote na chama ili kuokoa maisha yake. Assume Mbowe ni mgonjwa na hana BIMA ya afya. Chama kitashiriki VP?(keep constant kama kiongozi wa upinzani bungen?). Uking'amua hili hakika tutaenda sawa

Wewe hujitambui kwamba kichwani hakuna kitu.
Kuna sehemu umejiita mwanachama wa chadema na kuna sehemu unajiita mtumishi wizara ya Afya.Hili lenyewe tayari ni tatizo.

Nimekuuliza,Je,CHADEMA ina sera ya Afya ya kuhudumia wanachama au Viongozi wake?.
 
Back
Top Bottom