Masikitiko: CHADEMA pesa ya ruzuku ni kwa ajili ya nini? haitumiki kutibu viongozi?

Kwa haya mapungufu ya kila siku ya CDM ni kithibitisho tosha ya KUWA chadema ni JANGA kuliko CCM.....
Wakati mwingne kuna mambo ya kipuuzi KWELI yanafanyika CHADEMA mpaka mtu unashangaa.....HIVI KUIBINADAMU KABSA CHAMA AU KIONGOZI YOYOTE NDANI YA CHADEMA anashindwa kabsa kutoa 3M kumsaidia huyu kijana aokoe UHAI WAKE?????..acheni masihara kabsa....

Ukweli lazima USEMWE chadema kuna matumizi ya PESA ya ajabu kweli na tena hili uwa ni DILI LA VIONGOZI KUPIGA PESA KUPITIA WAWAKILI......Maana kila siku KESI AZIISHI MAHAKAMANI KUTETEA VIONGOZI kupitia mawakili wale wale na CHAMA KINAGHARAMIA...mwisho wa siku mtu anapewa TEN parcentage yake kwa kutengeneza kesi......mfano mdogo tu CHAMA KITATOA WAKILI KUMSHATI MAKONDA kwa personal issues za MBOWE.......inauma
 
Mtoa uzi hajielewi anaandika vitu Kama mtoto wa chekechea, Tatizo unapoandika propaganda kukisema chama fulani tumia akili sio unatumia utumbo kufikiri kisa njaa kali, Kazi ya ruzuku sio kutibu wanachama, Tatizo husomi vitabu na sheria mbalimbali usipende kusikiliza njaa inapokugonga tumboni itapelekea ulifanyiwe kitu mbaya
serious????HIVI MHERE NI MWANACHAMA TU NA SI KIONGOZI?????.....
 
Mtoa uzi hajielewi anaandika vitu Kama mtoto wa chekechea, Tatizo unapoandika propaganda kukisema chama fulani tumia akili sio unatumia utumbo kufikiri kisa njaa kali, Kazi ya ruzuku sio kutibu wanachama, Tatizo husomi vitabu na sheria mbalimbali usipende kusikiliza njaa inapokugonga tumboni itapelekea ulifanyiwe kitu mbaya
Tukiza munkari,weka pembeni ukada wako,ongea facts. Tatizo la kushikiwa akili ndo hilo. Kila mtu anayehoji anaitwa mpiga propaganda
 
Mkuu nazungumzia viongozi wa kitaifa wa chama(chadema)

Nazungumzia matibabu ya mwanachama na kiongozi wa CHADEMA.Kwamba ni jukumu la Serikali kutibu wananchi wake bila kujali chama alichopo mgonjwa wala wadhifa alionao.
 
Mtoa uzi hajielewi anaandika vitu Kama mtoto wa chekechea, Tatizo unapoandika propaganda kukisema chama fulani tumia akili sio unatumia utumbo kufikiri kisa njaa kali, Kazi ya ruzuku sio kutibu wanachama, Tatizo husomi vitabu na sheria mbalimbali usipende kusikiliza njaa inapokugonga tumboni itapelekea ulifanyiwe kitu mbaya
Hiyo njaa unayozungumzia ni njaa gani? Yaani kuleta Uzi ambao ungeletwa na wanaccm ndiyo niwe na njaa? Ina maana Mhere Mwita ni mwanachama tu na si kiongozi?
Mhere kapata ajali akiwa kazini tena akitumikia chama chake hivo kama chama kinawajibika kumsaidia mpaka kuimarika kwake.
 
Tukiza munkari,weka pembeni ukada wako,ongea facts. Tatizo la kushikiwa akili ndo hilo. Kila mtu anayehoji anaitwa mpigwa propaganda
Mbona hujauliza Afya ya Mbatia wa NCCR, Tatizo huna kazi ya kufanya umeandika Kama mtoto wa chekechea huwezi kuhoji kitu kwa kumuita mtu na genge Lake, Wewe unapomuhoji Baba yako Nyumban unaweza sema Wewe Mzee na genge lako, waliokutuma CCM waambie Imeshindikana ,
 
We jamaa hujitambui kabisa,hujui jukumu ka chama na serikali unayoilipia kodi.Huyo Mhere ni mwajiriwa wa chama?
Namwombea Mhere apone,lakini swala la matibabu linapaswa kusimamiwa na familia,ndugu na marafiki.Serikali ndio inahusika kwa afya ya raia wake.Kuna mifuko mingi ya bima,ni wewe na akili yako.Msipotoshe umma kwa akili zenu za ki ccm.Nchi imewashinda
 
Mhere Mwita yupi unayemzungumzia hapa wa MACCM!? Wa CHADEMA mbona kakanusha uzushi wenu!?

CHADEMA wamtelekeza Mwenyekiti wa BAVICHA wilaya ya Geita, Mhere Mwita baada ya kupata ajali Dodoma

Nimekuwa mwanachama wa Chadema tangu 2000. Nimekuwa nafuatilia kwa karibu sana mwenendo wa afya ya Mwanachama kijana wa chadema ndugu Mhere Mwita aliyepata ajali 3.10.2016_ akiwa katika shughuli za kichama mkonai Dodoma. Natambua wanachama wa chadema tulichanganishana toka mhere apatwe na tatizo mpaka kufikia hatua ya kuimarika na kuruhusiwa kuondoka muhimbili. Siku za hivi karibuni,kijana huyu alitangaza kuuza kiwanja chake ili apate matibabu zaidi ambayo yanagharimu 3.5M
Maswali yangu kwa uongozi wa juu wa chadema na Bavicha Taifa.
1. Rudhuku ya chama ni kwa ajili ya kuwawezesha viongozi wa chama Taifa kusafiri nje ya nchi na kufanyia harakati nchini?
2. Mchango wa chama uko wapi kwenye suala la afya ya Mhere Mwita?
3. Malisa Godlisten na wanachama wengine ndiyo pekee wanaratibu mipango ya kumtibu mwanachama mwenzao bila chama kuingilia kati?
4. Mbowe na Genge lako la uongozi wa juu hata kama mulichangia kiasi chochote katika matibabu ya Where Mwita,Tamkoa chama ni lipi juu ya matitababu zaidi ya kijana huyu ambaye anatakiwa kutibiwa kwa gharama ya 3.5m?

Chadema inawatumia vijana na kuwatelekeza baada ya kuvuna matokeo chanya?

Nakumbuka Juliana shonza alipohamia CCM aliwahi kusema kuwa chadema inawatumia vijana na kuwatelekeza, hii nimeanza kuiamini kwa misingi kwamba katika swala la mhere Mwita,chama kama chama kimeshindwa kutoa japo msimamo wake namna ya kumshughurikia huyu kijana aliyeumia akiwa kazini kukipigania chama chake.

Matokeo ya chadema kutokuwa na kauli juu ya afya ya Mhere Mwita.

Kiuhalisia,kutokana na viongozi wa Kitaifa wa Bavicha na chama kwa ujumla kushindwa kuonesha namna ya kuwasaidia vijana na wanachama wengine pindi wanapopata ajali kazini inaweza kukatisha moyo vijana kujitoa kukitumikia chama.

Mwisho.

Bavicha na uongozi wa juu wa chadema toeni pesa kwa ajili ya matibabu ya Mhere Mwita. Rudhuku ya chama siyo ya kufanyia ziara tu nchi za nje.

Mbowe na mwenyekiti wa Bavicha Taifa kama mumeshindwa swala DOGO tu la 3.5m kwa ajili ya matibabu ya Mhere Mwita bado mnajiita viongozi mathibuti wa chama?
Mbowe and katambi would you please stepdown.

Rais2020
Rais wa mioyo ya watu.
Rais arakayewafanya muishi kama malaika.
 
WEWE HIVYO VIROBA NA DAWA UNAZOBWIA HAPO UFIPA ebu ziache kwanza.......

Jibu hoja achana na siasa nyepesi.

"Jukumu la Serikali katika kuwahudumia Matibabu watanzania wasio na uwezo lipo wapi?"
"Tangu lini Chama cha Siasa Kimeanza kuwa Wizara ya Afya?"
 
Ina maana wanaoenda India ni lazima wawe wanachama wa chama cha Siasa?.
Nini Jukumu la Serikali kwa Wagonjwa wasio na uwezo wa Matibabu?
Mkuu. Bora ungekaa kimya kuficha ujinga. Hujui hata ni namna gani mgonjwa anaweza kutibiwa kwa namna unayosema ww
 
Sometime kaa kimya kuficha ujinga wako. Hujui hata Sera ya Huduma za afya. Nimekuwa mtumishi wa afya kwa miaka 10 hivi sasa huu utumbo ulioandika hapa napata wasiwasi na uelewa wako juu ya utoaji wa Huduma kwa mgonjwa wa BIMA ya afya na asiye mwanachama.

Siasa nyepesi zitawasumbua sana.

Nimekuuliza
1.Tangu lini Chama cha siasa kimeanza kutoa huduma za Afya kwa Wanachama wake?
2.Nini jukumu la Serikali katika kutoa huduma ya Afya kwa wananchi wasio na Uwezo wa kulipia matibabu?
 
Sidhani kama malengo ya Chama ni kuwatibu wanachama wake.Swala la Tiba kwa wananchi linashughulikiwa na Serikali kupitia wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.Wananchi wanalipa Kodi ili kusaidia upatikanaji wa Huduma bora za Jamii ikiwemo Matibabu bora.Kama kuna Mtanzania anayeteseka kwa kukosa huduma bora za Afya anayetakiwa awajibike ni Serikali.
Ushaambiwa keshatibiwa sana hospital za serikali ikiwemo muhimbili, sasa anahitaji matibabu ya juu zaidi ambayo kwa hapa hakuna, mbona Mara zote wagonjwa wa kiwango hicho huwa wanatangazwa na kutoa namba za account kisha huchangiwa kwenda kutibiwa na serikali huratibu namna ya kwenda na kurudi tu, sasa nyie machadema mmefikia wapi kwenye hiyo mil 3.5? Na ruzuku yenu inatumikaje maana hata ofisi hamna!
 
Mkuu. Bora ungekaa kimya kuficha ujinga. Hujui hata ni namna gani mgonjwa anaweza kutibiwa kwa namna unayosema ww

Wewe ndio ujinga umekujaa.

Kodi inalipwa kwa ajili ya huduma kwa mwananchi.

Kuwa mwanachama wa chama cha siasa haina maana kwamba umekosa haki ya kuhudumiwa na serikali.

Jiulize swali rahisi,

"Kama huyo Jamaa asingekuwa mwanachama wa Chama chochote cha siasa na hana Bima ya Matibabu,Je ni sahihi Serikali kumwacha afe kwa kukosa matibabu?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mmesikia vijana wa bavicha?mkiumia kwenyeharakatizenu za chadema, serikali itawatibu. chama siojukumulake.
 
Jibu hoja achana na siasa nyepesi.

"Jukumu la Serikali katika kuwahudumia Matibabu watanzania wasio na uwezo lipo wapi?"
"Tangu lini Chama cha Siasa Kimeanza kuwa Wizara ya Afya?"
Kaa kimya kuficha ujinga.
Watoto chini ya miaka 5,
Wazee miaka 60+,
Kina mama wajawazito,hawa Huduma zao ni bure kabisa lakini sio kwamba ni purely bure,kuna baadhi ya Huduma ambazo ni lazima alipie kama hana BIMA ya afya. Na kama una BIMA ya afya siyo kwamba Huduma zote utapata kwa BIMA yako,kuna baadhi ya Huduma na vifaa/dawa ambazo hazilipiwi na BIMA ya afya.
Kwa swala la mhere,tumejitoa kwa hali na Mali sana kumsaidia zoezi likiongozaa na Malisa G ambaye ndiyo amekuwa anaratibu mpango mzima,baada ya marafiki,ndugu na wanachama kujitolea kumsaidia kwa Mara ya kwanza,kama chama pia kinawajibika Kumwangalia kwa jicho la Tatu.
Mimi ni mwanachema ila siyo mjinga kama wewe.
Jielewe na acha kutanguliza chama kwenye swala la afya ya mhere
 
Mkuu to be honest,sijafanya hivo katika jf badala yake nimefanya hivo kupitia ukurasa Wangu wa Fb. Kutokana na taratibu na nature ya members wa jf sikuweza kuwashirikisha ukizingatia kuwa kuna Bavicha Taifa ambao wao ndiyo wenye jukumu la kufanya hivo kupitia jf. Personally sikufanys hivo maana watu wana perceptions tofauti tofauti ambapo majina kama tapeli ni common hapa.
Nakubaliana na wewe kuhusu nature ya members wa JF na ndio maana hata mimi nilizungumzia suala la kuushirikisha uongozi wa JF!! Hivyo basi ingekuwa ni process na sio tu suala la mtu kuandika thread ya kumchangia mwenzetu!!

Na katika kuhusisha uongozi wa JF (originally like selling the idea) I hope uongozi wa JF ungetaka uongozi nao (BAVICHA) nao wahusishe ili isionekane mtu binafsi anataka kupiga pesa!!!

Clouds tunaowakejeli kila siku wamekuwa wakifanya haya mambo na wananchi wengi wamekuwa wakisaidiwa; WHY NOT JF?!
 
Ushaambiwa keshatibiwa sana hospital za serikali ikiwemo muhimbili, sasa anahitaji matibabu ya juu zaidi ambayo kwa hapa hakuna, mbona Mara zote wagonjwa wa kiwango hicho huwa wanatangazwa na kutoa namba za account kisha huchangiwa kwenda kutibiwa na serikali huratibu namna ya kwenda na kurudi tu, sasa nyie machadema mmefikia wapi kwenye hiyo mil 3.5? Na ruzuku yenu inatumikaje maana hata ofisi hamna!

Ina maana siku hizi Serikali haisaidii wananchi maskini kwa ajili ya Matibabu yaliyoshindikana nje ya nchi?.Ina maana tumeshafilisika kwa kiwango hicho?.
Kama ni hivyo serikali iweke wazi ili wasamaria wema wajitokeze kumsaidia.
 
Back
Top Bottom