Masikio ya Kenge.. based on true story

Wabongo wavivu sana kusoma...

-tuishi humo-
 
Kongole kwako Nicodemas Tambo Mwikozi kwa simulizi nzuri yenye kuelimisha na kuburudisha pia.

Decoding!

Huo ni uhalifu wa kupangwa (organised crime)

Mchezo ulianzia afisini kwenu...

Habari ikavujishwa kuwa utakuwa na 5M siku hiyo 'in cash' kwa ajili ya kuipeleka benki...

'Its an inside job!'

Habari zikafikishwa kwa 'wakora!' Fasta wakapanga mawindo yao kwa namna zote, ukikwepa hivi unategwa vile hadi uliponaswa kwenye ofa za mbia mbili na urembo wa Laura!

Amini usiamini siku hiyo usingetoboa na hizo hela kwa maana walijuwa hata wapi ulipoziweka na benki gani utaenda...

Bila shaka uliwekewa dawa za kulevya kwa ustadi wa kipimo na kificho... Hususani dakika za mwisho baada ya kuingia hotelini wakati akikufanyia fujo kadhaa ukidhani ni za ulevi (kama siyo bia za kule Coco beach)

Mahaba na ashki ya ngono ilitawala akili yako na kushindwa kuhisi 'unywanywa' uliopo...

Ulipo poteza fahamu kwa usingizi mzito wa awali, bila shaka alikuongezea dozi nyingine kiasi ili ikufikishe 'say' saa nne asubuhi...

Milioni nne na laki nane na chenji zikaenda lakini cha ajabu watagawana na kila mmoja atapata isiyozidi 1.5M, kwa maana afisini kwenu mtu mmoja, Laura wa pili na wakora wengine wawili au watatu ambazo watazitapanya tu huku wewe ukiwa umeshaingia hasara...
_________

Somo:

Lets be cautious always! Tujitahidi ku 'balance' akili za kichwa kwa chini na kichwa cha juu.

Ombi:
Naomba niweke uzi wenye kichwa cha habari, "Jinsi nilivyoibiwa kizembe " au mfanowe na simulizi hii iwe ya kwanza na ya pili iwe ya @Bujibuji ya simulizi jinsi jamaa alivyoibiwa gari bar.
 
Labda alichanganyiwa vilevi
 
Laura.. kazingua hajakupa hata kimoko
 
Hapo kwenye kujamba na kutetemeka kwa kweli mimi ilinipata 2018 nilipigwa simu na documents za gari mpya ikiwa bandarini nilihisi nimepigwa shoti alafu demu mwenyewe alininyima k sikupiga akaniambia tutafanya asubuhi umechoka sana lala kwanza
 
Boss wangu pole sana asee maana ulipigwa kitu kizito sana kichwani
 
Pole mkuu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Tamaa ya chini haijawahi kumuacha mtu salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…