Masikio ya Kenge.. based on true story

Atakua jamaa wa mkoani huyu inamaana hakula mzigo? Kwanini usinge deposit mzigo wa watu kwenye CRDB Fahari Huduma
 
Let me feed my eyes..Mtoto mzuri kama Hurulain
 
Paka wangu,umesoma yote haki imenshinda
 
Wale walio sifia demu mkali chooni ni wenzake.. Pole sana. Demu kama huyo ungeishia kumdhalilisha ktk taxi basiii
 
Ha ha mkuu, story yako ina uhalisia wa kutosha, Hotel De mag ya mshkaji wangu sana Denis
 
Mimi masikio ye kenge yalinikuta pale Kangaroo baada ya kutoka rhapsody nimelewa nikaona siwezi kufika mbezi makonde bila kufa, bora nikapaki kangaroo lock milango hata nikiamka saa 2 asubuhi hamna shida brevis yangu full tint, [emoji23][emoji23] sikuwa nime lock milango ninakumbuka kumuona binti in blur picture akishuka kwenye gari na kuondoka, kushtuka sikua na s6 edge yangu, kiasi cha pesa kati ya 70k - 150k, power bank, Tab yangu surface pro na bahasa zangu zilizokuwa na makaratasi ya tra niliyotoka kulipia kodi nbc corporate...nilikuja kujua ni yule changu anaitwa aisha alilipa vyote ndio akaanza kuuza uchi tena pale kangaroo
 

Hivi vitabu napata wapi mkuu?
 
Dah mi sio msomaji wa stori ila nimejikuta naisoma yotee

Mkuu Mtoa mada una kipaji kikubwa sana

Pia stori ni nzuri na ina funzo kubwa mnoo,,

Hongera sana na Ahsante kwa Ujumbe uliomo kwnye stori
 
Eti uliona huwez fika hom bila kufa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

btw huyo aisha ulimdaka umfumue ht rinda au?? hahah
 
Hata mimi mkuu sitakuja msahau Laura, afadhali wewe alikuachia hela ya nauli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…