Nenda hospitali umuone daktari atakufanyia checkup inaezekana uchafu mwingi umeziba huwa wanapiga bomba kuuondoa Ear syringing.Habari zenu waungwana,mie ni kijana mwenye miaka 25,tatizo nililonalo ni kuwa masikio yangu yote yamepoteza usikiaji,tafadhalini naomba msaada wenu