MHASIBU HALISI
Member
- Aug 10, 2011
- 35
- 13
Mapato na matumizi
Inauma sana na kwa kweli imenisikitisha sana, yaan Tanzania tumefikia mahali kwamba ukitetea UTAWALA BORA wewe unaonekana msaliti. Mtu kama ZITO KABWE kitendo chake cha kuhoji MAPATO na MATUMIZI ya chama tena ni utaratibu ambao unajulikana kisheria lakini leo hii anaonekana ni msaliti na hafai kabisa katika Chama !
Watu hao hao ambao ukiwahoji kuhusu MAPATO na MATUMIZI ya chama wanakuwa mbogo kiasi cha kutaka hata kukufukuza uanachama kabisa , lakini wanataka kesho tuwakabidhi nchi hii waiendeshe. Hivi kama wanashindwa kutoa hesabu za MAPATO na MATUMIZI ya taasisi yao ya chama chao tu, hivi wataweza kweli kutoa MAPATO na MATUMIZI ya nchi nzima ?
Watu hawa wakishapewa dola si ndo kila atakaehoji MAPATO na MATUMIZI ya nchi atatolewa roho. Kwa sababu wameshindwa kutoa hesabu za MAPATO na MATUMIZI kwa kipindi cha miaka minne, na hii ni kwa taasisi ndogo tu ya chama chao .Je wakikabidhiwa nchi itakuwaje ? Ndugu yangu Zito Kabwe usife moyo endelea na mapambano mpaka utawala bora utakapokuwepo !
Halafu huwa najiuliza ina maana Chadema haina WAHASIBU wa kuwaandalia ripoti ya MAPATO na MATUMIZI pamoja na Mizania ya biashara kwa kila mwaka ? Hivi Mhasibu Mkuu wa Chadema ni nani ? Ana elimu gani ? Je , Mkaguzi wa nje wa hesabu za Chadema ni nani ?

Mtu kama ZITO KABWE kitendo chake cha kuhoji MAPATO na MATUMIZI ya chama tena ni utaratibu ambao unajulikana kisheria lakini leo hii anaonekana ni msaliti na hafai kabisa katika Chama !
Watu hao hao ambao ukiwahoji kuhusu MAPATO na MATUMIZI ya chama wanakuwa mbogo kiasi cha kutaka hata kukufukuza uanachama kabisa , lakini wanataka kesho tuwakabidhi nchi hii waiendeshe. Hivi kama wanashindwa kutoa hesabu za MAPATO na MATUMIZI ya taasisi yao ya chama chao tu, hivi wataweza kweli kutoa MAPATO na MATUMIZI ya nchi nzima ?
Habari Wadau. Najiuliza maswali mengi sana nnaposikia hoja za watetez wa Zito na wenzake kuhusu yanayoendelea but swali kuu ni kwa nini tumwamini Zito na wenzie na sio kamati kuu yenye wajumbe takribani 30 if am not mistaken. Hawa ni watu walioaminiwa na chama kwa ajili ya kuamua mustakabali wa chama badala ya wanachama wote. Sasa tusipowaamini hawa na kukubali maamuz yao tumwamini nani ? Hao watatu wanaotaka tuwaamini wana kipi cha kutuaminisha kinyume na hao takribani 30. Ni sawa sawa na vitu kwenye nyumba viwe vinapotea kila siku na wenzio wote kila cku wawe wanashaka na wewe tu lazma kutakua na tatzo upande wako. Kamati kuu imejumuisha watu wa kanda zote na dini zote so sitegemei mtu aje hapa na hoja za ukanda na udini.
Hao 30 hawajatoa hoja yeyote yenye mashiko mpaka sasa.