Iko hivi, mahali ambapo Kuna masikini wa kutosha ni taabu tupu. Masikini wanakera tena wanatapisha. Unaweza kwenda sehemu ukakuta watu hawana chakula ukawapa vizuri tu ila baada ya hapo wanakusengenya
Unaweza ukatoa msaada kupitia Kwa viongozi ila hao viongozi Kwa umasikini walionao wakatafuna wao peke yao bila kuwakumbuka raia
Sehemu yenye Umaskini wa kutupwa imejaa maradhi na harufu mbaya za kila aina, masikini anasumbua kweli kweli, niwashamba haswa naukiwaendekeza kuwapa msaada basi hugeuka haki kwao ole wako usimpe basi anaanza kubwata
Masikini sio wakuwasaidia bora uache wateseke tu hawanaga jema