Masikini wanakera sana, nawachukia mnoo

Masikini wanakera sana, nawachukia mnoo

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,591
Reaction score
31,128
Iko hivi, mahali ambapo Kuna masikini wa kutosha ni taabu tupu. Masikini wanakera tena wanatapisha. Unaweza kwenda sehemu ukakuta watu hawana chakula ukawapa vizuri tu ila baada ya hapo wanakusengenya

Unaweza ukatoa msaada kupitia Kwa viongozi ila hao viongozi Kwa umasikini walionao wakatafuna wao peke yao bila kuwakumbuka raia

Sehemu yenye Umaskini wa kutupwa imejaa maradhi na harufu mbaya za kila aina, masikini anasumbua kweli kweli, niwashamba haswa naukiwaendekeza kuwapa msaada basi hugeuka haki kwao ole wako usimpe basi anaanza kubwata

Masikini sio wakuwasaidia bora uache wateseke tu hawanaga jema
 
Masikini wote wana upungufu wa akili yaani akili zao ni finyu hawawezi hata kutafuta namna ya kupata kipato.

Masikini wanaamini kusaidiwa ni haki yao na wanasumbua sana kwenye simu.
 
Ma
() () () () () () () () () () () () () () () () () () ()

Hayo mabano nikwaajiri ya salamu

Iko hivi, mahali ambapo Kuna masikini wa kutosha ni taabu tupu. Masikini wanakera tena wanatapisha. Unaweza kwenda sehemu ukakuta watu hawana chakula ukawapa vizuri tu ila baada ya hapo wanakusengenya

Unaweza ukatoa msaada kupitia Kwa viongozi ila hao viongozi Kwa umasikini walionao wakatafuna wao peke yao bila kuwakumbuka raia

Sehemu yenye Umaskini wa kutupwa imejaa maradhi na harufu mbaya za kila aina, masikini anasumbua kweli kweli, niwashamba haswa naukiwaendekeza kuwapa msaada basi hugeuka haki kwao ole wako usimpe basi anaanza kubwata

Masikini sio wakuwasaidia bora uache wateseke tu hawanaga jema
Wewe haupo katika kundi la watu wanaoishi ila upo hai .

Siku ukianza kuishi utajua what shit life damn you went through Soma Uzi wa Robert Heriel Mtibeli utaokota Cha kuokota
 
Ushakaa siku moja baada ya chuki zako na kukereka ukajiuliza ni nani au nini kinasababisha umasikini wa hao masikini ? Na wale peasants wanaokulisha kule Bush nao ni Masikini (Hao wao hawamo by your definition)

Iko hivi, mahali ambapo Kuna masikini wa kutosha ni taabu tupu. Masikini wanakera tena wanatapisha. Unaweza kwenda sehemu ukakuta watu hawana chakula ukawapa vizuri tu ila baada ya hapo wanakusengenya

Unaweza ukatoa msaada kupitia Kwa viongozi ila hao viongozi Kwa umasikini walionao wakatafuna wao peke yao bila kuwakumbuka raia

Sehemu yenye Umaskini wa kutupwa imejaa maradhi na harufu mbaya za kila aina, masikini anasumbua kweli kweli, niwashamba haswa naukiwaendekeza kuwapa msaada basi hugeuka haki kwao ole wako usimpe basi anaanza kubwata

Masikini sio wakuwasaidia bora uache wateseke tu hawanaga jema
Huwezi kumtenga mtu masikini na roho mbaya, wivu, uchawi, figisu, roho mbaya, umalaya, ujinga, upumbavu, uchawa na futina.
 
Umasikin ni mbaya sana
Nashukuru sana Mungu hatuna masikini kwenye familia
Na umasikini ni wa kuogopa kama ugonjwa tu
Omba uwe mtu wa kusaidia na sio wa kusaidiwa
Ushauri wetu huu kila wakati

Unakuta watu maisha yao wanaomba omba tu na anaona kawaida kabisa
On judgement day wataadhibiwa sana hawa
Yaani huku wanajitesa na huko watakiona ( kama mtu anaamini)

Hakuna kushabikia umasikini ila unakuta majitu kutwa linaomba tu
 
Iko hivi, mahali ambapo Kuna masikini wa kutosha ni taabu tupu. Masikini wanakera tena wanatapisha. Unaweza kwenda sehemu ukakuta watu hawana chakula ukawapa vizuri tu ila baada ya hapo wanakusengenya

Unaweza ukatoa msaada kupitia Kwa viongozi ila hao viongozi Kwa umasikini walionao wakatafuna wao peke yao bila kuwakumbuka raia

Sehemu yenye Umaskini wa kutupwa imejaa maradhi na harufu mbaya za kila aina, masikini anasumbua kweli kweli, niwashamba haswa naukiwaendekeza kuwapa msaada basi hugeuka haki kwao ole wako usimpe basi anaanza kubwata

Masikini sio wakuwasaidia bora uache wateseke tu hawanaga jema
Kwanza wewe hapo ulipo uko kundi gani masiki tajiri,hili neno masikini unafahamu maana yake? au unabwata tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom