MICHAEL SON
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 458
- 536
Sio kuvumilia mkuu, piga kura kuleta mabadiliko. Ccm sasa mwaka wa 60 acha wengine wafanye mabadiliko badala ya kukata tamaa na kusubiri wajukuu.Asalaam!.
Msingi mkubwa wa maendeleo katika Taifa ni siasa safi,,. Cha kusikitisha hapa kwetu hakuna,,, sio CHADEMA sio CCM wote wale wale tu wapiga dili wa the all time,,,hawa wengine wenye wabunge 2 ndo hata hawafai kuzungumziwa,,, watanzania tuendelee kuvumilia mabadiliko watayaona vitukuu wetu,,,.
Mpoto uliona mbali....
Waliopo hatuwataki na wanaotaka tuwape hatuwa amini,,,,,, asalaam
Wewe ni tatizo vile vile! Kwanini unakata tamaa? Fikiri mbali mabadiliko unayoyataka utasaidia vipi kuyaletaAsalaam!.
Msingi mkubwa wa maendeleo katika Taifa ni siasa safi,,. Cha kusikitisha hapa kwetu hakuna,,, sio CHADEMA sio CCM wote wale wale tu wapiga dili wa the all time,,,hawa wengine wenye wabunge 2 ndo hata hawafai kuzungumziwa,,, watanzania tuendelee kuvumilia mabadiliko watayaona vitukuu wetu,,,.
Mpoto uliona mbali....
Waliopo hatuwataki na wanaotaka tuwape hatuwa amini,,,,,, asalaam
IUnapaswa kuushukuru upinzani imara kupitia CHADEMA.... Ni rahisi sana kukiponda hiki chama nyuma ya keyboard.. Lakini bado kitabaki kuwa chama bora cha upinzani kwa miaka mingi ijayo.. Mengine ni madhaifu ya kawaida ya kibinadamu... Hakuna mkamilifuAsalaam!.
Msingi mkubwa wa maendeleo katika Taifa ni siasa safi,,. Cha kusikitisha hapa kwetu hakuna,,, sio CHADEMA sio CCM wote wale wale tu wapiga dili wa the all time,,,hawa wengine wenye wabunge 2 ndo hata hawafai kuzungumziwa,,, watanzania tuendelee kuvumilia mabadiliko watayaona vitukuu wetu,,,.
Mpoto uliona mbali....
Waliopo hatuwataki na wanaotaka tuwape hatuwa amini,,,,,, asalaam
Nadhani Mtoa Mada alikuwa anataka kusemaAsalaam!.
Msingi mkubwa wa maendeleo katika Taifa ni siasa safi,,. Cha kusikitisha hapa kwetu hakuna,,, sio CHADEMA sio CCM wote wale wale tu wapiga dili wa the all time,,,hawa wengine wenye wabunge 2 ndo hata hawafai kuzungumziwa,,, watanzania tuendelee kuvumilia mabadiliko watayaona vitukuu wetu,,,.
Mpoto uliona mbali....
Waliopo hatuwataki na wanaotaka tuwape hatuwa amini,,,,,, asalaam
Nakuona the Nyumbu..πIUnapaswa kuushukuru upinzani imara kupitia CHADEMA.... Ni rahisi sana kukiponda hiki chama nyuma ya keyboard.. Lakini bado kitabaki kuwa chama bora cha upinzani kwa miaka mingi ijayo.. Mengine ni madhaifu ya kawaida ya kibinadamu... Hakuna mkamilifu
Jr
Binafsi siviamini vyama vya siasa maana wote nawaona wapigaji tu!Nakuona the Nyumbu..
Binafsi siviamini vyama vya siasa maana wote nawaona wapigaji tu!
Hao CDM hawajapata nafasi tu ya kukalia kiti,siku wakipata tutawasoma rangi pia!!..
Kwangu kuyaharibu mambo walianzia 2015 kumuweka waliyekuwa wakimuita fisadi..
Walianza kumsafisha kwa spidi..!
Nikajua hawa ni walewale!, tofauti ni ndogo Sana na hapo ndo nikaelewa kwanini wanaitwa wapinzani..!!
Kwa wenye akili ni kuwa ccm inajua Sana kucheza na upinzani na upinzani bado hawajaiweza ccm kimkakati,propaganda n.k
Sitegemei tofauti kubwa Sana siku upinzani ukija kushika nchi.
Mkuu sasa nimpigie nani?. hata hawa upinzani uchaguziukifika wanatuletea wagombea walofukuzwa CCM,,,,,Sio kuvumilia mkuu, piga kura kuleta mabadiliko. Ccm sasa mwaka wa 60 acha wengine wafanye mabadiliko badala ya kukata tamaa na kusubiri wajukuu.
Mkuu napambana na maisha yangu na kizazi changu ,,Walaah Sio kwa wanasiasa Hawa WA kibongoWewe ni tatizo vile vile! Kwanini unakata tamaa? Fikiri mbali mabadiliko unayoyataka utasaidia vipi kuyaleta
Madhaifu ya kibinadamu kuminya democrasia unayo ihubiri na kuililia?..,Madhaifu ya kibinadamu kuminya matumizi ya Rasilimali unazokusanya halafu una mlengo WA uwazi na kupambana na Umaskini ,,GUTUKA Mkuu ,,HATUNA WANA SIASA TUNA WACHUMIA TUMBOIUnapaswa kuushukuru upinzani imara kupitia CHADEMA.... Ni rahisi sana kukiponda hiki chama nyuma ya keyboard.. Lakini bado kitabaki kuwa chama bora cha upinzani kwa miaka mingi ijayo.. Mengine ni madhaifu ya kawaida ya kibinadamu... Hakuna mkamilifu
Jr
Sio nataka uwe hivyo ila ni ktk namna ya kuwakurupua Nyumbu tu ili msilale lale..πBinafsi siviamini vyama vya siasa maana wote nawaona wapigaji tu!
Sasa mpwa mtazamo wako ndio unataka uwe wetu sote?
Jr
Hakuna CCM imara bila upinzani Imara!...TUNAHITAJI MAENDELEO KWA KIWANGO NA STAHIKI YA RASILIMALI ZETU,,,Sio Propaganda...DOLA INAPIGANA KUIUA CHADEMA KULIKO JINSI INAVYO WAPIGANIA WANACHI,,,. Chadema nao 90% wana yao moyoni,,na ya ndani machafu na mabaya KULIKO CCM patheticNadhani Mtoa Mada alikuwa anataka kusema
"Maskini CHADEMA yangu "
CCM inaju kua Silaha yake kubwa ni Ujinga wa watanzania,,,ambao watakuchagua leo wasikuone Miaka 5,, na usiwafanyie lolote la maana,,ila wakakuchagua tena ,,kwa kuwagawia Chumvi na kangaNakuona the Nyumbu..π
Binafsi siviamini vyama vya siasa maana wote nawaona wapigaji tu!
Hao CDM hawajapata nafasi tu ya kukalia kiti,siku wakipata tutawasoma rangi pia!!..
Kwangu kuyaharibu mambo walianzia 2015 kumuweka waliyekuwa wakimuita fisadi..π
Walianza kumsafisha kwa spidi..!
Nikajua hawa ni walewale!, tofauti ni ndogo Sana na hapo ndo nikaelewa kwanini wanaitwa wapinzani..!!
Kwa wenye akili ni kuwa ccm inajua Sana kucheza na upinzani na upinzani bado hawajaiweza ccm kimkakati,propaganda n.k
Sitegemei tofauti kubwa Sana siku upinzani ukija kushika nchi.
Tatizo piga kura usipige hata mgombea uliempigia hatangazwi hata akishindaSio kuvumilia mkuu, piga kura kuleta mabadiliko. Ccm sasa mwaka wa 60 acha wengine wafanye mabadiliko badala ya kukata tamaa na kusubiri wajukuu.
Watanzania tunakosea sana kuweka chama kimoja madarakani miaka 60. Uingereza, Marekani, etc wanabadilisha chama kila baada ya miaka 4 au 8. Halafu sisi tunashangaa kwanini tunabaki kuwa maskini.Mkuu sasa nimpigie nani?. hata hawa upinzani uchaguziukifika wanatuletea wagombea walofukuzwa CCM,,,,,