nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
tutamkubuka nyerere daima.
Ukisikia game iliyochezwa na kina Chenge utabaki mdomo wazi....kuanzia uspika wa mzee sita kwenye mabunge yote,mjadala kuhusu richmond na mzee bila kujuwa game akajiingiza na baadhi ya watu wake na sasa wanamalizika ki siasa kabisa.Wabunge wengi ni Team Lowassa...mawaziri ni wachache saana maana waliaminishwa vingine...Bungeni utadhani kuna msiba...mawaziri hawakai na wanaokaa wananuna na wengine wamepoteza mvuto wa sura siku hizi mbili tatu aliporuhusiwa EL kuendeleza harakati zake za safari ya matumaini.Baadhi ya wanaotia nia ni team EL na watajiondoa na kumuunga mkono.EL akishinda usitegemee mawaziri hawa wa sasa kurudi serikalini.Ukimya wake bungeni alikuwa anawasoma vizuri.Chenge hawezi rudi serikalini sidhani kama anapataka tena.
Lowassa will never be the President of this country, keep that in your thick skull.

Ni wakati wa CCM kufa na mafisadi wao ndio kitakachookoa nchi hii
guyz let's pray to our savior almighty to get a perfect leader in this year if we allow to be bribed by this dirty politics soon we will be refugees as what happens to our neighbors
ndo maana hatutski kurudia makosa. Nadhan unaona nchi inavoyumba kwa ufisadi na ukwepaji kodi wa wafanyabiashara waliomuingiza jk ikulu.Na wewe ndugu kuwa na Akili hata kiduchuu , mbona aleyekuwepo sasa kaingizwa na hao hao unaowahofia? ? Rostam , Chenge, Lowasa n.k
Fisadi papa na jambazi sugu lowasa pamoja na kutumia mihela yote hiyo hasafishiki na wala hakuna anayeweza kumtetea. NI KUPOTEZA MUDA JAPO WATETEZI WATAKUWA WAMENUFAIKA NA PESA ZA KIFISADI ANAZOGAWA HOVYO
guyz let's pray to our savior almighty to get a perfect leader in this year if we allow to be bribed by this dirty politics soon we will be refugees as what happens to our neighbors
Lowassa kaiba nini Nchi hii???
WEKA USHAHIDI WAKO HAPA TUUONE.
Pitia hapa corner bar nikuzawadie Kinana mbili baridi mkuu!