Sahir Punzy
Member
- Jan 13, 2015
- 86
- 55
dah! simu yangu ishakufa tena imekataa kuweka 2.3 kwa kutumia odin katika kile kibox cha juu kinacho andika pass kimekataa na kinaandika fail harafu sasa inawaka display nyeupe hata RECOVERY MODE haipo yaani kioo cheupe kabisa