Masikini Samia, kabaki na machawa tu

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,585
Reaction score
14,903
Mama Samia ambaye alikuwa anakutana na kuombwa mikutano na maraisi wa nchi kubwa kubwa sasa kabaki kufanya mikutano tunguu zanzabari na machawa😇 .

Yote yanatokana na tamaa za pesa na ubinafsi badala ya kuweka nchi mbele. Kajaza familia kwenye uongozi na watu ambao ni machawa lakini ataondoka bila furaha.

Watanzania wengi tofauti na 2022-2023 watashangilia akiondoka kuliko akibaki madarakani 😔
 
Aliuwa watu kisha akaunda TUME Fake ya MACHAWA
Akatengeneza ToR anazojua yeye
ambapo yeye HATA HOJIWA
Japo ni muhusika mkuu kwenye ,auaji yale
 
*Watanzania wengi tofauti na 2022-2023 watashangilia akiondoka kuliko akibaki madarakani 😔
 
KANISA LIMEISHIWA PAWA

LIMEBAKIA KUWA KICHEKESHO KANISA KATOLIKI
Kuongelea kitu kisichotajwa kwenye mada ni Ishara ya kuchanganyikiwa nacho.

Kinazunguka kichwani mwako Hadi unakitapika hata pahali kisipo tajwa.

What a power it has!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…