notradamme
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 2,009
- 453
Jasusi ambaye huna uhakika hata BABA YAKO HALISI NI NANI????!!!!!Mimi kama mwanafunzi wa sayansi ya Ujasusi, nimeona viasharia ambavyo sio vya kupuuzia vinavyoelekeza kwamba betlehem ndio Kitila Mkumbo
Si kwel kuwa anayoandika prof ni kinyume na mapenzi yake bali ndo alokusudia akidhan anawakomoa cdm na kuwafurahisha ccm
Jasusi ambaye huna uhakika hata BABA YAKO HALISI NI NANI????!!!!!
hebu tuondolee ujinga hapa
Hivi mliwahi kujiuliza kwa nini wakati Prof Mwesiga Baregu akinyimwa ajira UDSM eti kwa kuwa mjumbe wa KK ya CDM, wakati huo huo Dr Kitila Mkumbo hakuguswa, na infact aliachiwa akagombea na kiti cha UDASA? Fikirisha ubongo kidogo mtamuelewa Dr Mkumbo.
Jasusi ambaye huna uhakika hata BABA YAKO HALISI NI NANI????!!!!!
hebu tuondolee ujinga hapa
... nimejifunza mambo kadhaa ya msingi.
1.Kumbe bado tunao wataalam ambao wanaweza kuthubutu kuusema ukweli hata kama unaenda kinyume na mapenzi yao.
2. Kumbe bado kuna wanasiasa ambao wanaweza kuusema ukweli hata kama ukweli huo ni mchungu na ni "threat" hata kwao wenye.
3. Kumbe msomi anaweza pia kuwa mdau wa siasa na asipoteze tabia za kitaalam (Intellectual virtues) kama vile Fair mindedness na critical thinking& analysis.
...
Mimi kama mwanafunzi wa sayansi ya Ujasusi, nimeona viasharia ambavyo sio vya kupuuzia vinavyoelekeza kwamba betlehem ndio Kitila Mkumbo
Kwelimkuu, haya njoo basi huku mahabusu tuungane kula bata maana huyu bata mkubwa.Njaa mbaya sana hasa inapokimbilia ubongoni
tulikuwa tunajua ila tulikuwa tunatania tu mkuu. Sasa hivi tumebambwa haha hahahahah! haya karibu kahawa.Hivi mpaka leo mlikuwa hamujui? huyo NI MTU MMOJA.
kweli mkuu, wana sema suala ni nia.Unaweza hata kuona mtu akimwagia tindikali mwenzake halafu akadanganya ni mwenzake, hapa jambo hilo si shida, shida ni nia ya muhusika, inawezekana ana nia njema tu.Katika siasa, kusema ukweli au uongo sio suala la msingi. Cha maana ni huo "ukweli" au "uongo" una lengo gani
Maprofesa wanategemewa kuandika makala za kuchambua 'issues'; siyo watu!
kwani ACT INA MISINGI?ila huyu si mwanziishi wa ACT kwanini asiandike makala ya chama chake na kukisifa na misingi yao hiyo isitekelezeka?
Yeah! ndio mimi,sasa unataka nini? ngumi! kama vipo futa mstari uone!Mimi kama mwanafunzi wa sayansi ya Ujasusi, nimeona viasharia ambavyo sio vya kupuuzia vinavyoelekeza kwamba betlehem ndio Kitila Mkumbo
Yeah! ndio mimi,sasa unataka nini? ngumi! kama vipo futa mstari uone!
Ni vizuri umekiri.
Ndo kama nilivyokueleza sasa, we unasemaje?
Yeah! ndio mimi,sasa unataka nini? ngumi! kama vipo futa mstari uone!