Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,198
- 7,539
Huyu Prof katumwa na yuko kwenye payroll ya mafisadi wa magamba.kwa nini alipokuwa cdm hakuandika haya ya kuwasifia ccm.
Kwa muda sasa nimekuwa nikizisoma makala mbali mbali za Prof. Mkumbo na kuzitafakari kila ninapopata utulivu.Hata hivyo nimejifunza mambo kadhaa ya msingi.
1.Kumbe bado tunao wataalam ambao wanaweza kuthubutu kuusema ukweli hata kama unaenda kinyume na mapenzi yao.
2. Kumbe bado kuna wanasiasa ambao wanaweza kuusema ukweli hata kama ukweli huo ni mchungu na ni "threat" hata kwao wenye.
3. Kumbe msomi anaweza pia kuwa mdau wa siasa na asipoteze tabia za kitaalam (Intellectual virtues) kama vile Fair mindedness na critical thinking& analysis.
Ninachomsikitikia ndugu yangu Prof ni kwamba, wengi katika jamii anayoiandikia, hawapendi fair- minded people.Wengi ni watu wenye ntimanyongo na wasiojua wanachokitaka na ni wachache tu, wenye busara na maarifa wanaoweza kung'amua hekma kutoka kwenye maandiko yake. Ila sasa, Sijui kama Prof atatoboa dhidi ya kashfa na mitusi ya maprofeshenali kati fani husika! Maskini Prof!Namuonea huruma dhidi ya dhahama itakayomfika kutoka kwa wabobezi,lakini kwa kuwa kaamua kuwa mwanazuoni, uadilifu ni kuendelea kufanyia kazi ujuvi wake aliozamia kwani siasa si chaka la kujitoa fahamu kama wanavodhani akina fulani.
maprofesa hawa wa kichina china......................nilicho kiona ktk vyuo vya DAR,nitawasimlia wanangu tu......hakuna mtanzania anayeweza kubuni na kutengeneza 'kibiriti'
Kazi ya Prof kutengeneza vibiriti? any way katibu mahabusu tule bata.maprofesa hawa wa kichina china......................nilicho kiona ktk vyuo vya DAR,nitawasimlia wanangu tu......hakuna mtanzania anayeweza kubuni na kutengeneza 'kibiriti'
Kama hamjui Profesa Kitila Mkumbo anasumbuliwa na mambo yafuatayo:
1.Kukosa matumaini ya kulitwaa jimbo la iramba, baada ya ya Mwigulu Nchemba
Kumzidi akili
2.Stress
4.Kufulia (kufilisika)
5.Akili na maisha yake yanaongozwa na kumilikiwa na Zitto kabwe
6.Kutimuliwa chadema kwa usaliti
Kama Profesa kitila mkumba angekuwa anajitambua ni bora angekaa kimya kuruhusu upepo mbaya
Upite na aweze kujipanga upya aachane na tabia zake za kujipendekeza,lakini tofauti yake ameonyesha tamaa,uchu wa madaraka, na kujipendekeza kupitia makala zake. sijui anatafuta ukatibu mkuu wizarani, au vc wa udsm au ubalozi
basi sawa, karibu huku mahabusu tule bata.cdm ni chama makini ukiona umetimuliwa chamani jua una walakini hicho ndicho kitila asicho taka kukubaliana nacho. ukweli ni kua kitila ni kikwazo kikubwa sana kufikia ukombozi wa nchi hii kitila ni ndumila kuwili.
Anaandika nini huyu alihamisha njaa toka Chadema akazipeleka kwa Lowassa!
Huyu nilimdharau tangu NJAA zake zilipohamia katika UBONGO wake.
Njaa ya akili is a dangerous disease than cerebral malaria because it has no cure or vaccine!
heri yako mwenye shibe, haya karibu basi mahabusu tuungane kula zetu bata.
Anaandika nini huyu alihamisha njaa toka Chadema akazipeleka kwa Lowassa!