Kwema sana ndo nimerudi hivyo...asante kwa kunikumbukaKaka mkubwa umepotea sana. Kwema huko utokako?
Kwema sana ndo nimerudi hivyo...asante kwa kunikumbuka
Risasi nne hata kwa mwizi tu inatia shaka
Mkuu nadhani hujafuatilia kesi inavyoenda. Kwa mtu yeyote anayefuatilia hii kesi Pistorius is guilty. Kumbuka kulikuwa na tukio la bastola kufyatuka bahati nzuri ilimkosa ReevaWabongo bana guilty until proven innocent! Kesi haijaisha bado.
Labda Pistorius alidhani dozi ya bullet moja haitatosha kuondoa uhai wa mpenzi wake Reeva. Binadamu ni wa ajabu kweli kweli, hata Jonas Savimbi alifumuliwa risasi takriban 15 waliomuua wakidhani kuwa kile kifua kipana cha Savimbi kisingeweza kustahimili risasi moja tu!
Pistorius hana tofauti na Mushi katika sakata lake na Ufosaro(hii katika kuweka kumbukumbu sawa zisipotee) sema utofauti ni kuwa Mushi aliongeza kitendo kinaitwa "Mushilisation " akimwacha ufoo na maisha yake katika process inaitwa "Ufosarolisation"
Labda Pistorius alidhani dozi ya bullet moja haitatosha kuondoa uhai wa mpenzi wake Reeva. Binadamu ni wa ajabu kweli kweli, hata Jonas Savimbi alifumuliwa risasi takriban 15 waliomuua wakidhani kuwa kile kifua kipana cha Savimbi kisingeweza kustahimili risasi moja tu!
Nilipojazia nakubaliana na wewe kwa asilimia mia mojaReeva was on the phone flirting with her ex-boyfriend. Pistorius was furious over this.Hizi mambo za "oh nilifikiri mwizi" ni uongo mtupu. You don't unload four bullets to chase a burglar.Tatizo ni wivu. Unamnyima mwanaume papuchi afu uko busy unaongea with some other nigga in his own freaking bathroom??? b.itch you crazy? Anyway, I'm not saying he should have killed her, BUT I understand.
Nilipojazia nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja
Ninavyojua mimi ukifyatua risasi na kwa jinsi wanawake walivyo na uoga nina uhakika ya kwanza tu lazima dada alipiga kelele(mayowe) ina maana sauti ya mtu wako wa karibu huwezi itambua?
Alidhamiria kumfupisha maisha mwenzie hiyo intruder sijui nini blah blah tu
Hasila hasara
Kama kweli demu alikuwa anaongea na simu ya jamaa wa zamani ni haki yake kulimwa marisasi