Masikini Mama Malecela huyo ndio Magufuli

Masikini Mama Malecela huyo ndio Magufuli

Magufuli amefanya vizuri japo amejisuta mwenyew na kuonesha kutokuwa na uchaguzi sahihi, ni sawa na mwanaume kuoa mke alf amuache ndan ya miezi michache baada ya ndoa!!
 
Mambo ya kuzaliloshana tu,sasa hilo ndilo kosa mpaka anamia kufanya uteuzi mwingine@@mbna majizi bado anayo anashindwa kuyapiga chini?
 
Back
Top Bottom