Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,773
- 3,877
Hajafanya siasa banaAliamua mwenyewe kujiegemeza kwenye siasa.View attachment 3370160
Amekutana na nyakati mbaya....Kila Taifa linataka Reforms.Nyota ndo ilikuwa inaanza kuwaka. Mara No Reform No Reaction mara Gwajimanization. Mara Iran vs Israel.
Dogo ana post programs zake kiroho safi, watu wana comment No reform no Reaction.
Halafu watu wazima kabisa.
Wabongo mnamfanyia mbaya huyu mtoto. Mlisha muaminisha mnampenda then ghafla tena " No Reform No Reaction"
Basi mwache avune analichopandaAliamua mwenyewe kujiegemeza kwenye siasa.View attachment 3370160
FactsAmekutana na nyakati mbaya....Kila Taifa linataka Reforms.
Irani imewapa Raia wake kila kitu muhimu ikawanyima Uhuru wa kutoa maoni.
Wasaliti wamejaa ndani ya Nchi hiyo hadi ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama
AiseeHakuna mabadiliko hakuna uchaguzi
Duh!Ndio nani
Pole yake kwa kweli.Pole yake
Mpinzani wa dogo Sajent.Ndio nani