haya yanaashiria siku za mwisho za uhai wako ewe CcM mtoka pabaya 1.mnapopeleka msaada wa chakula kwenye uchaguzi baada ya maji kuzidi unga kwa lengo la kurubuni wapigakura 2.Siku chache zijazo mtakapokataliwa na Wanaigunga 3.....endelea