Masikini CCM! Mbeleko tegemezi ya polisi yazidi kukatika, kipi cha kufanya isizidi kuadhirika?

CCM isitegemee kuwa Polisi ni Kama mbwa wa kuamrisha; kamata! Halafu wanakamata.

Polis ni binadamu wenye akili nadhani sasa hivi wanaanza kufanya kazi zao kwe kutumia akili na uweledi
 
ni baada ya rpc mwanza kukataa agizo la kamati ya ulinzi ya wilaya (kamati za fitina) kuwakamata wabunge wa chadema.

Nawaomba ccm wakae kitako na kutafakari (soul searching) angalau wawe wanajenga hoja za msingi kujibu zile za chadema, hasa kuhusu wizi na ufisadi dhidi ya watanzania! Acheni polisi wafanye kazi zao halisi kwa umma!
kakataa au kasema hajapelekewa taarifa..
 
Naona RPC anashuhudia UNYAMA wa CCM Inavyowafanyia CHADEMA Mkoani MWANZA; Yeye kama POLISI anaona Sasa ATUKUZE na KUFUATA SHERIA... zaidi ya Unyama wa CCM

teh teh teh qwi qwi qwi
siasa ziliwashinda wakaomba msaada wa polisi, sasa polisi wamegoma.waamie jeshini
 
Kamanda atahamishwa siku si nyingi kwa kukaidi agizo la chama,kweli kamanda ni muvave chana!!
 
huyo matata meya wa manispaa ya ilemela ndo yule aliefukuzwa uanachadema ama? imekuaje hapo
 
Back
Top Bottom