Kingmairo JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 4,936 Reaction score 3,548 Dec 31, 2015 #21 Mkapime kwanza kabla hamjala tundi
mhemeavisogo JF-Expert Member Joined Jul 23, 2014 Posts 345 Reaction score 200 Dec 31, 2015 #22 Kwanza kupima ni muhimu, Then kama umeshikwa sana pima then mteme jombaa coz ni vigumu sana kushinda na pesa katika mapenzi yetu ya kibongobongo. Huyo Mzee hawezi kuwekeza miaka yote then wewe uje kubeba kirahisi, Utapotezwa.
Kwanza kupima ni muhimu, Then kama umeshikwa sana pima then mteme jombaa coz ni vigumu sana kushinda na pesa katika mapenzi yetu ya kibongobongo. Huyo Mzee hawezi kuwekeza miaka yote then wewe uje kubeba kirahisi, Utapotezwa.