Ingawa kwa sasa sijaitumia kitambo kama miezi miwili mitatu, nimebadili chimbo la kutafuta malighafi ila siwezi kukataa ubora wa hao viumbe wa hiyo site
Hii mbinu nimeipenda sana, lakini sasa umesahau kusema kwamba una gari la gharama ambalo litawaepusha na kadhia za usafiri kipindi hiki. Kina dada changamkieni fursa, hii ofa ina marupurupu mengi kama ubunge wa jamhuri.

Mkuu sasa napoteaje njia wakati mimi ni mkazi mwenzako wa hapa JF ? Mimi nimependa tu jinsi ulivyo na huruma kwa hawa dada zetu, natumai watakutafuta wengi huko PM usijali.