Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,219
- 3,427
Tatizo lipo kwa watumiaji wa vyoo
Hawajali kabisa tena utakuta mtu mzima lakini duh[emoji23][emoji23][emoji23]
Mamlaka zilizowekwa nazo hazitimizi wajibu wake.
Kiujmla. Watanzania hatuna tabia ya kujali na kufata utaratibu iwe nyumbani, makazini au sehemu yoyote ile.
Hapo kwenye usafi wa mtu binafsi ndio balaa lingine lilipo. Hawa wanafunzi hasa wa chuo ni wachafu mnooo sio wastaarabu hata kidogo, bora wa mashuleni wanakaguliwa usafi mara kwa mara.Tatizo lipo kwa watumiaji wa vyoo
Hawajali kabisa tena utakuta mtu mzima lakini duhššš
Mamlaka zilizowekwa nazo hazitimizi wajibu wake.
Kiujmla. Watanzania hatuna tabia ya kujali na kufata utaratibu iwe nyumbani, makazini au sehemu yoyote ile.
Eti jamani. Huu mwaka wa 2022 tangu ujio wa Yesu Kristo bado watu wanashindwa kufanya plumbing ya uhakika? Chuo kama UDSM wana vitivo vya uhandisi lakini eti kwenye mabweni yao maji hayapandi ghorofani.SIKU HIZI MAFUNDI BOMBA NA WATAALAMU WA FUMIGATION WAPO WENGI ILA NDIO HIVYO PENYE MITI HAKUNA WAJENZI
Aibu. Mi siwezi kumiliki chuo kikawa na kunguni hata siku moja.Mwaka jana tulitembelea Domeco, nao hostrl zao zina kunguni hadi sio poa.
Huku kwenye basic hygiene tulitakiwa tuwe tumepita siku nyingi sana. Inasikitisha.Duh nchi hii tuna safari ndefu sana. Imagine watu hata basic hygiene hawawezi ku-control mambo makubwa itakuwaje?
Mwenyewe nimeshangaa sana. Kunguni ni tatizo dogo sana.Kunguni tena wajameni, mbona kisanga hichi wananzengo ngoja wausika waje
Hahaa utasikia Tanzania sasa ni kama Ulaya wakati maji tu ni mtihani. Mtsyuuuuuu. Mwaka wa ngapi huu wa uhuru? Useless.Unasikia hakuna maji kama vile tuko jangwani. Ccm wanalikosea sana ili taifa
Hivi vyuo vyetu ni useless. Eti unawajuzi wakutosha wa mambo kadhaa lakini bado hamuwezi kuapply huo ujuzi kutatua matatizo madogo madogo mwenye jamii. Mtu unajigamba umesoma sana lakini chuo chako kinatatizo la maji na kunguni. Seriously? Utakuwa mzima wewe?Vyuo vingi,kunguni ni wengi.Inaonyesha vyuo vyetu ni teaching based na siyo reseach based,tatizo la kunguni na maji,insshindikana kutatua kweli?Ukiangalia hapo Dodoma,water table iko juujuu sana,ila eti kuna shida ya maji,daah!
Alisema ukweli. Hawa wanafunzi personal hygiene yao ni sifuri hata kuoga vizuri hawajui wanaishia kupaka cheap perfumes.Yule mhadhiri wa UDSM alisema wanafunzi hawajui kuoga sembuse kwenda kukata gogoz itakuaješ¤§š¤§
Wenye shida zaidi kweli ni viongozi wa chuo. Maji yakikosekana usafi ni wa shida sana. Lakini hawa wanafunzi nawajua wengi sio wastaarabu.Nakumbuka UDSM vyooni ni shida unakutana na mizigo imerundikwa na inabidi uingie hivyo hivyo, tatizo sio la wanafunzi tatizo ni management, maji ni ya shida sana especially toilets za karibu na seminar rooms kwa udsm alumin mnavijua. Sasa mtu umebanwa haja unaenda toilet hamna maji utafanyaje? inabidi ujisaidie hivyo hivyo. Wa kulaumiwa ni management.