Mashujaa wasioimbwa: Unaikumbuka Italy iliyotwaa Kombe la Dunia 2006

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,914
6,033
Kama ada, karibuni katika uzi huu tukumbushane kuhusu kikosi hiki cha Timu ya Taifa ya Italy iliyotwaa kombe la Dunia mwaka 2006 kwa kumfunga hasimu wake Ufaransa kwa matuta,
Unakumbuka nini na wapi kuhusu kikosi hiki? Mastaa gani uliwakubali katika kikosi hiki?
Karibuni wakuu tukumbushane matukio mawili matatu...
Italy-2006-World-Cup-winning-squad.jpg

cc;
Guasa Amboni King Ngwaba Mussolin5
 
Duh hii ndio zizzou anampa ndosi mtu azzuri walikuwa na ukuta wa chuma toka aondoke Franco baresi baada ya world cup ya 1994 walikuwa hawajapata ukuta kama huo wa akina canavaro maldini gigi akiwa langoni khalafu pale kati pana mtu mmoja katili sana mauro camoranesi jamaa sijui alikuwa mtu wa mmea yeye na ginare gatusso sikuwahi kuwaelewa akili zao. Kiujumla walistahili kunyanyua kwapa japo walipelekwa mpaka penye tuta.
 
naikumbuka nusu fainali italy vs germany mjini dortumund... game ilikuwa kali balaa

kuna mchambuzi wa supersports.. akatania alisema.. mechi kama ile ilivyo na kasi.. ukimuweka mchezaji wa ligi kuu ya south africa anaweza akafa kwa spidi... game iko extra time ila watu wanashambuliana na spidi kama mechi ndio imeanza upya
 
Azurri...
Nilishangilia Siku ile mpaka nikataka kudumbukiza mikono kwenye pangaboy..
Kijiwe kizima tulikua tunashabikia Italy watatu tu
 
Naam!
Hiyo picha ni sikunya fainali dhidi ya Ufaransa.

Alessandro Nesta hakucheza fainali nafasi yake ikachukuliwa na Mtukutu Marco Materazi ambaye alienda kuwa staa wa drama ya fainali.

Kwanza kabisa aliisawazishia Italy goli na kuwa 1-1.

Pili, akamchokoza staa na nahodha wa Ufaransa, Zinedine Zidane na akaishia kupigwa Kichwa/Ndonga na kumfanya Zidane kulamba kadi nyekundu huku Ufaransa ikibaki na watu 10 uwanjani kwa muda mwingi wa mchezo.

Italy hii pia licha ya kubeba taji, ilikuwa na kikosi cha wachezaji wenye umri mkubwa kama Luca Toni, Rino Gattuso, Del Pierro, Zambrotta, Materazzi bila kumsahau nahodha Fabio Cannavaro.

Hapo pichani amekosekana Danielle De Rossi ambaye kwenye fainali hii alianzia benchi.
 
Hapo wachezaji niliokuwa nawakubali ni Fransisco Totti " El Captano De la Roma ", Andrea Pirlo " The brain of Milan ", na Fabio Cannavaro ambaye mpaka sasa huwa najiuliza alifanikiwaje kucheza nafasi ya beki wa kati kwa mafanikio makubwa licha ya kuwa na kimo kifupi sana!
 
Nilimkubali sana Luca aTony ila akaharibu so far nilikuwa France kama kawaida na Treziguit akatuangusha ila nilikuwa tayari nimepoa sana kiushabiki baada ya uefa final kati ya Arsenal na Barca
 
Hapo wachezaji niliokuwa nawakubali ni Fransisco Totti " El Captano De la Roma ", Andrea Pirlo " The brain of Milan ", na Fabio Cannavaro ambaye mpaka sasa huwa najiuliza alifanikiwaje kucheza nafasi ya beki wa kati kwa mafanikio makubwa licha ya kuwa na kimo kifupi sana!
Yaah ni kweli fabio alikuwa na kimo sio cha haja ila wachezaji wa kariba hiyo hutokea iwe beki au mshambuliaji kwa mfano wa beki hata hapa kwetu tulikuwa na Paul John Masanja na George magere masatu hawakuwa na vimo vikubwa ila waliweza kuyatekeleza majukumu yao vyema tu. Ukija washambuliaji pana Diego armando maradona akina aerial ortega huyu pamoja na ufupi wake nakumbuka game moja alimpiga kichwa Edwin van dersa pia omar husein (kelvin keegan wa Tanzanian )mohamed mmachinga hata keegan mwenyewe na Kenny daglish vimo vyao na mambo waliyoyafanya ni tofauti.
 
sawasawa mkuu, kwa washambuliaji ongeza na Sergio Kun Aguero
 
Yaah ni kweli fabio alikuwa na kimo sio cha haja ila wachezaji wa kariba hiyo hutokea iwe beki au mshambuliaji kwa mfano wa beki hata hapa kwetu tulikuwa na Paul John Masanja na George magere masatu hawakuwa na vimo vikubwa ila waliweza kuyatekeleza majukumu yao vyema tu. Ukija washambuliaji pana Diego armando maradona akina aerial ortega huyu pamoja na ufupi wake nakumbuka game moja alimpiga kichwa Edwin van dersa pia omar husein (kelvin keegan wa Tanzanian )mohamed mmachinga hata keegan mwenyewe na Kenny daglish vimo vyao na mambo waliyoyafanya ni tofauti.
Umenikumbusja King Keny.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom