Mashosti wanaudhi jamani

Duh! Hao mashosti zako balaa. Bora wengine hatuna mashosti.
 
Mimi mbona sijawahi kuwa na shosti akanifanyia hata moja kati ya hayo kumi?!
 
Na ndio maana rafiki zangu ni wanaume, hizo sifa zote ulozitaja hawanazo kabisa....
Nilishaamua kutemana na mashost toka wanitende, mmoja mpaka leo sitaki hata kumuona, nilimtambulisha kwa my BF, ndani ya wiki moja tu, nikamfumania na my BF kitandani LIVE, wanafanya! Iliniuma sana.
 
daah pole zinduna sitaki tena rafiki wa kike potelea mbali
 

Smile kweli haukuwa vizuri pole dear natumaini leo uko poa au sio?? sikuona hii thread wikiendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…